Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

Sijui Chadema walitegemea nini kwenda kukodisha ukumbi kwa mtu mwenye vinasaba na CCM.

Hawa watu ni walewale, mambo ya kihuni yapo kwenye DNA zao, kukaa nao mezani ni kupoteza muda tu.
 
Haka kalema siku kakija kuolewa ndo katajua kuwa hakajui......watu wanamchora tu na vijimaneno vyake vya kwenye khanga!
 
Wao kuondolewa ukumbini .
Huoni kama ni zaidi ya ujinga ?!. Hivi wafuasi wa watawala hamna hata fikra !
Kwa kujifanya kote huko hujui matumizi ya hili neno kwenye biashara??

"Management reserves the right for admission"

Au kwakua ni Chadema basi kila mtu afanye mnachokitaka???
 
Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM.

Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.

View attachment 2233659
Sasa kama kaambiwa na mamlaka huyu Lema Alitaka mfanya biashara afanyaje ? mpuuzi sana huyu Lema
 
Itakuwa hawakulipia ukumbi. Iweje wakodishiwe halafu wafukuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…