unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Canada alikwenda kunusuru maisha yake mlitaka kumuua. Hata hivyo anatia team muda si mrefu kuna dalili serikali hii ikaacha kuwaua na kuwateka wapinzani.
Acha utoto nani alitaka kumuua? Na je huko Canada mtu akitaka kukua anashindwa nini? Kila siku unaskia Mzungu kaua mwafrika na maisha yanaendelea. So atashindwa mtu mwenye hela kukodi Mercenary kwenye darkweb?