kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Hii aliiweza tu Odinga na muda si mrefu inatazamiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya. Kwa mazingira ya kenya kususa inawezekana si hapa Bongoland. Kuna mmoja kashauri chdema wajenge ofisi na kumbi zao kuondoa hizi inconveniencesSiku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM.
Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
View attachment 2233659
Miaka zaidi ya 25 bado chama kimekaa kiharakati na kuvaa mabuti kama mgambo, haijakaa sawa