Lema: DW wametumiwa na CCM kufanya propaganda

Uwe unaanzisha uzi kuwambia ukweli kuwa wote hamuwezi kuwa chadema
 
Kwani si tulikubaliana kuwa Mbowe ni Mandela wa Tanzania, akifungwa atakuwa amekipaisha sana chama na hatimae kuja kuwa Rais kama Mandela halisi au yule Mandela wa Zambia?
Kaka Godbless hofu ya nini tena?
Asante umetoa maneno kinywani mwangu
 
nakubaliana na weww

pia viongozi wa chadema hawaweki akilinzao katika kukabiliana na kesi ya mbowe ila wanapambana na chama cha CCM na kuilaum serikali tu kila kukicha

wanashindwa kuwa na mipango mikakati ya kutafuta suluhu ila wanatafuta relief kwa kuitupia lawama serikali na kuwachonganisha wananchi ambao ni wanachama wao na serikali yao ikiwa wao wapo mbali na eneo la tukio,,, wanawafanya wafuasi wao kama kete kwenye draft wanawaendesha watakavyo bila mipangilio...
 
Mabeberu ukishayapa kinyeo hata ukitaka kumnyonga Mbowe hamna shida
 
lema CCM haijamshtaki mbowe wala CCM haijasimama mahakamani kutoa ushahidi wala CCM sio mwendesha mashtaka mkuu wa kesi ya mbowe wala CCM sio jaji wa kesi hiyo,,, usipotoshe uma na kuleta mtafaruku ndani ya taifa,,, democracy haipo hivyo hiyo ni misleading na inawalenga wananchi wa taifa hili...
 
Ndugu yangu,
Kwa hiyo mnachotamani sana ni Mwamba Mbowe aombe kusamehewa kosa ambalo hakulitenda?
Nyie ambao bado mko kulekule kwenye kujivunia mambo ya HOVYO ya kulazimisha wasio na hatia kulipa mihela ili kunyamazisha sauti za haki, mnaugua ugonjwa wa MAGUFULEGACY unaofifisha uwezo WENU wa kufikiri kama BINADAMU mtimilifu. KATIBA MPYA yaja, kuwapa tiba. AMEN
 
Hatutaki aombe tunataka tusubiri hukumu ya Mahakama
 
Wewe unashauri Nini, aombe msamaha asifungwe au asiombe msamaha asifungwe?
 
Kama watanzania wote waishio ulaya ni wanafiki maana ya wote ni pamoja na yeye.
 
Watanzania wengi ni wanafiki sn ndiyo maana CCM wanafanya wanavyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…