Lema: DW wametumiwa na CCM kufanya propaganda

Watanzania wengi ni wanafiki sn ndiyo maana CCM wanafanya wanavyotaka
Mwenyekiti wa chadema alizungumzia wanachama wao waliokimbia Tanzania na sio Watanzania wote waliokimbia Tanzania kwa sababu ya vitisho kwa hiyo kila Mtanzania atatajiju mwenyewe alipo. Huo ndio ukweli wa Watanzania hakuna umoja wala huruma kutesana kwa zamu.
 


Umeandika vizuri Kabisa
 
Kutafuta haki lazima mtu uwe na chama??
 
Wakati watu wameomba suluhu ya mazungumzo Lemaa na TL wakatia ujeuri haya sasa haya yanatokea wapi?
 
Ifike hatua chadema wawe wanakatazana kila mtu kuropoka na kuamini wao ndio wako sahihi kuliko mtanzania anaewapinga

Kama tunavyoona CCM wana madhaifu na ndivyo vyama vingine vina madhaifu pia

Hivi unatarajia hao watanzania walioenda kujitafutia kipato wafanye mambo kisa kumfurahisha lema na Chadema

Leo waandamane kwa kuipinga CCM ambayo inao baadhi ya viongozi wake wanaotoa maamuzi yanayopelekea tuwe na manung'uniko kadhaa kila leo

Halafu kesho chama iko iko kije kiseme yule alisingiziwa kwahyo tumuungeni mkono hana uchafu wowote hapa

Mfano wangu mkubwa ni Lowasa na Nyalandu namna walivyochafuliwa na Chadema na mwisho wakasafishwa na hao hao Chadema

Demokrasia wanayohubiri wanatakiwa waiishi maana hata hao diaspora wanachokifanya ni demokrasia pia

Lakini la muhimu zaidi wajifunze kauli za kuwasilisha katika jamii ya wenye akili timamu huyu lema ndio alimwambia mwenzie mtandaoni FUTA

Kina lema wajifunze maneno anayotoa Mbowe hata kama akiwa na hasira ila anajua kauli za kutumia simaanishi kuwa Mbowe hana madhaifu hapana yeye ni binadamu hakosi madhaifu

Lakini yule mwamba(Mbowe) kawazidi sana uwezo wa akili wanasiasa wengi sana nchini.
 
Ukweli ni kwamba, kwa sasa adui namba moja wa TANZANIA ni CCM

Tuumize vichwa kwa namna yoyote ile, huyu adui bila kuondolewa tusahau maendeleo na uhuru wa kweli
 
Sema wazenji wa Didabliuu wanazingua...nikama mzenji kekeke nakinà yunusi wa bibisii!!
Watu wanaandaa mazingira wapewe kazi!!
 
Ukweli ni kwamba, kwa sasa adui namba moja wa TANZANIA ni CCM

Tuumize vichwa kwa namna yoyote ile, huyu adui bila kuondolewa tusahau maendeleo na uhuru wa kweli

Naunga mkono hoja. Hata huyu mama amekuwa wa hovyo, mara tu alipoanza kuingia kwenye siasa za chama! Na hasa alipoonesha nia ya kugombea 2025!

Kabla yapo alikuwa ni mama bora sana. Ila kwa sasa, binafsi hanivutii hata kidogo. 😔
 
Kwani si tulikubaliana kuwa Mbowe ni Mandela wa Tanzania, akifungwa atakuwa amekipaisha sana chama na hatimae kuja kuwa Rais kama Mandela halisi au yule Mandela wa Zambia?
Kaka Godbless hofu ya nini tena?
Kama ni Mandela atafia kizuizini, maana Mandela org alifia kizuizini alafu wasouth wakaletewa Mandela copy. Kwahiyo Mbowe hatorud tutaletewa copy ya Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…