johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani wewe ni nani kumpangia Lemma cha kusema?Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana huyo.
Ngoja tuone bwasheeAttention seeker.
Haya matusi haya inamaanisha kwamba Mzee Makamba aligtgf na SSH au Mimi sijaelewa ?January ni Waziri siyo First born wa SSH
Mnapanga kumteka?Huyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja!. Sasa hivi tutamsahau!.
P
Linapokuja issue ya link na chadema, huwa unakuwa irritated! Una nini na familia ya chedema?Huyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja!. Sasa hivi tutamsahau!.
P
Tulia, nabii ndio keshasema!.Huyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja!. Sasa hivi tutamsahau!.
P
πππ Umeanza kuogopa?Linapokuja issue ya link na chadema, huwa unakuwa irritated! Una nini na familia ya chedema?
Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana
Tulia, nabii ndio keshasema!.
Uwe na subira!Lema anasubiri nini kutoa hilo onyo? kama Makamba amekosea amuweke sawa mapema, sioni sababu ya maandalizi.
Maneno mazito hayaHuyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja!. Sasa hivi tutamsahau!.
P
LEMA, huyu mzee Mayalla sio wa KUPUUZA TENA .Huyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja!. Sasa hivi tutamsahau!.
P