Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema hivi karibuni atatoa Onyo kali kwa January Makamba

Lema akiwa amepost picha aliyopiga Yeye, January Makamba na Nape Nnauye wakijadili jambo msibani kwa Membe amesema January ni Waziri siyo First born wa SSH hivyo kiburi chake kitashushwa

Lema ametoa angalizo hili kupitia ukurasa wake wa twitter

Hatari na nusu!
Makamba, Jafo, Mchengerwa, Aweso, Ummy, Mwigulu, Mbarawa na Nape ni watoto wa Rais na siyo mawaziri
 
Inaonekana kwa hii photo January alikuwa na hasira kama kuna jambo anamuonya Lema.

Lema anaonekana amekaa kinyonge akitafuta huruma ya Nape.

Kuna jambo kubwa.
Lema ni Shemeji wa Makamba na Mwigulu

Nape ni Binadamu wa Mwigulu umamani lakini kalelewa Lushoto

😄😄😄 2030 kama ni huko kazi ipo!
 
Back
Top Bottom