Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema hivi karibuni atatoa Onyo kali kwa January Makamba

Lema akiwa amepost picha aliyopiga Yeye, January Makamba na Nape Nnauye wakijadili jambo msibani kwa Membe amesema January ni Waziri siyo First born wa SSH hivyo kiburi chake kitashushwa

Lema ametoa angalizo hili kupitia ukurasa wake wa twitter

Hatari na nusu!
Nabii Lema🤣
 
Afadhali useme, maana tumechoka [emoji3062]
Jamani Watanzania tumwendee Mwenye Enzi Mungu atusaidie kuhusu hawa watu wanao fuja pesa za Watanzania!
Tumlilie Mola wetu!
Kweli nawaambia Mwenye Enzi Mungu ana tenda.
Tuiombee nchi yetu jamani[emoji24][emoji24][emoji24] sio kila siku unaombea family yako tu na nchi una I sahau!
Tufunge na kuomba kwani Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana sana![emoji24][emoji24]
 
Uwe na subira!

Maonyo ya Siku hizi ni hatari na nusu Bwashee!
Unabii wa
Mimi sio team January, ila ninakemea kitendo cha Lema kwenda msibani na kufanya jitihada zote ili apigwe picha akiwa na January ili baadae aje amseme vibaya kwenye mitanda
Your not serious yanii Lema kupiga picha na January na kwenyewe kunaitaji jitihada??
 
Back
Top Bottom