Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Ukiona akina Makonda nk wanaanza kuja mbele ujue wanaanza kukubalika tena.
Lakini nakumbuka kuna watu walikuwa wanaamini Lema ni nabii.
 
Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana huyo.
Alichodai Lema ni kuwa January anajiona kama vile yeye ni First born wa Maza.

Swali ni..... Kweli ana si kweli?
 
Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana huyo.
Usicheze na mtu wa Mungu (Yeremia 1:19).
 
hiyo picha itakua aliambiwa hujui kitu wewe umenda ughaibuni kujifunza kuvaa chupi na kadeti za kisasa unakuja apa kutukana maafisa usafirishaji
 
Lema anasubiri nini kutoa hilo onyo? kama Makamba amekosea amuweke sawa mapema, sioni sababu ya maandalizi.
Labda anataka kwenda Ngende kule Lindi, au Mlingotini (Pwani) kwanza halafu ndiyo akitoka huko anatoa hilo onyo. Kwani unadhani lema hajui kuwa januari ni Mtanga?
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema hivi karibuni atatoa Onyo kali kwa January Makamba

Lema akiwa amepost picha aliyopiga Yeye, January Makamba na Nape Nnauye wakijadili jambo msibani kwa Membe amesema January ni Waziri siyo First born wa SSH hivyo kiburi chake kitashushwa

Lema ametoa angalizo hili kupitia ukurasa wake wa twitter

Hatari na nusu!

=========

Lakini mkumbuke kufukia mzoga ayo mambo ya kushushana ni yenu sisi hayatuhusu
 
Back
Top Bottom