Lema kamkimbia Makonda Arusha?

Lema kamkimbia Makonda Arusha?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Siku hizi analala anaamkia Dar.

Sote tunajua kwamba Lema alikuwa mwanasiasa machachari wa Arusha kabla ya ujio wa Makonda.

Kwa bahati nzuri hivi sasa team Lissu kushinda amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Inasemekana ndio mshauri mkuu wa Lissu ndani ya chama.

Swali langu. Jee amemkimbia Makonda Arusha ktk harakati zake za kisiasa?

Pia soma
 
Asubuhi yote hii... Ndio umeamka na hili!!?
 
Kama konda anawaza kurudi kugombea kigamboni, watakuwa wanakimbiana.
 
Bado umeng'ang'ana na kina lisu na lema mpaka leo ingekuwa mwingine ungenyamaza kimya toka uliposema lisu akishinda upigwe life ban hapa kwenye jamii forum
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Makonda alipelekwa Arusha kimkakati kumdhohofisha Lema maana huyo ndio aliyekuwa kiongozi wa genge lililokuwa likimsaka lema ili wa mteketeze Enzi za Magu,hivyo saa mbovu ya kipemba ilifanya hivyo kuendelea kumtisha baada ya Lema kuwa kinyume na matakwa yake(ikumbukwe waliokuwa uhamishoni na magerezani walitolewa na kurejwshwa kwa makubaliano yakupunguza makali yao kisiasa,lqkini Lema na Lisu hawakuishi makubaliano).

Lema hawezi mkimbiq Makondo isipokuwa mishe nyingi za kisiasa kipindi hiki zipo Dar,tulia anarudi.
 
Lema kaesha.na ile tukio la kumtukana na kumdhalilisha Mbowe hadharani litamsumbua ktk maisha yake yote
 
Lema kaesha.na ile tukio la kumtukana na kumdhalilisha Mbowe hadharani litamsumbua ktk maisha yake yote
Unaonyesha rangi yako halisi, kumbe chuki zote ni kwa sababu ya kumshinda Mbowe kwenye uchaguzi. Mbona Mbowe ameishakubali kushindwa na amempongeza Lissu na ametulia, vipi wewe hawara yake unaumia hadi leo?
 
Nafikili uolewe naye Ili uweze kufahamu kwa undani vinavyomuhusu

Baada ya wewe kuolewa u adhani binadamu wote wanaolewa? Mnaolewa ninyi wanaume punguani. Usidhani mpo wengi, ni ninyi wachache tu mliopungukiwa akili.
 
Sijaumia. Nimeumia mzee wenu kumdhalilisha kwa matusi na uzushi. Zaidi nimeumia aliongoza hayo Lema ambae amelelewa na Mbowe
Hakuna mtu yeyote aliyemtukana Mbowe. Labda uwe huna akili ya kuelewa maana ya tusi.
 
Back
Top Bottom