Lema kamkimbia Makonda Arusha?

Lema kamkimbia Makonda Arusha?

Siku hizi analala anaamkia Dar.

Sote tunajua kwamba Lema alikuwa mwanasiasa machachari wa Arusha kabla ya ujio wa Makonda.

Kwa bahati nzuri hivi sasa team Lissu kushinda amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Inasemekana ndio mshauri mkuu wa Lissu ndani ya chama.

Swali langu. Jee amemkimbia Makonda Arusha ktk harakati zake za kisiasa?

Pia soma
Mr. Shemale sorry...

Hata kama kupost ni free humu JF basi Mkuu ungekua hata unafikiria kidooogo ndio unabandika bandiko.
 
Amekwenda kupambana na Mbowe,amemaliza,sasa anarudi kuanza KESI na Makonda
 
Baada ya wewe kuolewa u adhani binadamu wote wanaolewa? Mnaolewa ninyi wanaume punguani. Usidhani mpo wengi, ni ninyi wachache tu mliopungukiwa akili.
Utakuwa upo sahihi ikiwa tu na id malaria2 ni ya kwako

Tangu trh 22 mleta hoja amekuwa na ugonjwa wa kisonona kilichosababishwa na ushindi wa TAL . Kwa siku anaanzisha thread zaidi ya kumi ambazo zote zinamlengo hasi kwa TAL na kwa wale wote walikuwa timu yake ya ushindi
 
Yupo Dar Kwa shughuli za kichama

Back
Top Bottom