Asubuhi yote hii... Ndio umeamka na hili!!?Siku hizi analala anaamkia Dar.
Sote tunajua kwamba Lema alikuwa mwanasiasa machachari wa Arusha kabla ya ujio wa Makonda.
Kwa bahati nzuri hivi sasa team Lissu kushinda amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Inasemekana ndio mshauri mkuu wa Lissu ndani ya chama.
Swali langu. Jee amemkimbia Makonda Arusha ktk harakati zake za kisiasa?
Pia soma
Makonda Kesha sema ametosheka na cheo cha ukuu wa mkoa ArushaKama konda anawaza kurudi kugombea kigamboni, watakuwa wanakimbiana.
Hakutosheka na ukatibu mwenezi Leo atosheke na urc!Makonda Kesha sema ametosheka na cheo cha ukuu wa mkoa Arusha
Kama mliweza kumtukana mzee wenu Mbowe ushindwe mimi?Inaonekana huwa unamtandikia kitanda
Lema kaesha.na ile tukio la kumtukana na kumdhalilisha Mbowe hadharani litamsumbua ktk maisha yake yoteMakonda alipelekwa Arusha kimkakati kumdhohofisha Lema maana huyo ndio aliyekuwa kiongozi wa genge lililokuwa likimsaka lema ili wa mteketeze Enzi za Magu,hivyo saa mbovu ya kipemba ilifanya hivyo kuendelea kumtisha baada ya Lema kuwa kinyume na matakwa yake(ikumbukwe waliokuwa uhamishoni na magerezani walitolewa na kurejwshwa kwa makubaliano yakupunguza makali yao kisiasa,lqkini Lema na Lisu hawakuishi makubaliano).
Lema hawezi mkimbiq Makondo isipokuwa mishe nyingi za kisiasa kipindi hiki zipo Dar,tulia anarudi.
Sijaumia. Nimeumia mzee wenu kumdhalilisha kwa matusi na uzushi. Zaidi nimeumia aliongoza hayo Lema ambae amelelewa na MboweImekuuma sana Mbowe kupigwa chini
Kwani ni baba yake?,Mbowe ana wanasheria kama amemtukana atamuwajibisha,wewe tuliaLema kaesha.na ile tukio la kumtukana na kumdhalilisha Mbowe hadharani litamsumbua ktk maisha yake yote
Unaonyesha rangi yako halisi, kumbe chuki zote ni kwa sababu ya kumshinda Mbowe kwenye uchaguzi. Mbona Mbowe ameishakubali kushindwa na amempongeza Lissu na ametulia, vipi wewe hawara yake unaumia hadi leo?Lema kaesha.na ile tukio la kumtukana na kumdhalilisha Mbowe hadharani litamsumbua ktk maisha yake yote
Nafikili uolewe naye Ili uweze kufahamu kwa undani vinavyomuhusu
Hakuna mtu yeyote aliyemtukana Mbowe. Labda uwe huna akili ya kuelewa maana ya tusi.Sijaumia. Nimeumia mzee wenu kumdhalilisha kwa matusi na uzushi. Zaidi nimeumia aliongoza hayo Lema ambae amelelewa na Mbowe