Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF bwana sihami humu. 😁LC V8 zishapitwa na wakati
Lema yupo sahihi.Msamehe Lema,hajui domestic politics za kwetu,yeye kwa sasa anaangali maslahi Refugees status Canada.
ya Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?
Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakunaiku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.
Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge waoewr
Wanajikomba baada ya kumdhalilisha na kuutweza utu wake.............. by KatikomileWanaukumbi.
Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?
Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.
Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Lema alimsaliti Mbowe leo anataka wamnunulie v8!Wanaukumbi.

Kwani uadilifu ni kutoomba pesa?.😂😂😂 Dah,
Ukisikia wanawaita waadilifu, wakwel utadhani kweli..
Kuna mmoja kachangiwa mil 132 mpaka sasa anasema haitosh kununua gari
Tuliwaambia mtu wenu anashindwa mkakaza shingo, leo mnaandika kwa wivu kumtukana Lissu.Wanajikomba baada ya kumdhalilisha na kuutweza utu wake.............. by Katikomile
Lema bado anamsakama Mbowe pamja na matusi yote aliyomtukana na kumsingizia
Chadema imebaki mikononi mwa washenzi watupu!
Mkuu siasa haina rafiki wala adui, na Lema anaiishi hii kanuni.Wanajikomba baada ya kumdhalilisha na kuutweza utu wake.............. by Katikomile
Lema bado anamsakama Mbowe pamja na matusi yote aliyomtukana na kumsingizia
Chadema imebaki mikononi mwa washenzi watupu!
Uamuzi sahihi sana huu umefanyaBinafsi najivunia sana kutokuwa shabiki wa Yanga, simba, ccm na chadema yani ishu za mpira na siasa za Bongo Mm sio shabiki yao kabisa.
Ni pesa za michango ya hiari sio zile za wananchi kwa ajili ya hudumaWanaukumbi.
Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?
Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.
Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Lema Toka achangishe watu mayai na hakurejesha hesabu zinazoeleweka....nilimuamishia kundi lingine.Jibu ni wasingechanga wangęsema ‘ametufanya hamnazo for 20th s plus hatuna pesa ya kuchangia msali’$&ti’
Wanaukumbi.
Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?
Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.
Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Vyuma vya siku hizi Land Cruiser ni V6 engine ndogo ila balaa kubwa.View attachment 3215095
ZX iyo 3.3L Diesel V6
Kwa mtizamo wangu naona ingekuwa busara kama Lema angehamsisha watu wamalizie mchango wa gari la Lisu kwa kuwa mpaka sasa hana gari na lile lenye matundu ya risasi liwekwe mahali kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Na kuhusu Mbowe nafikiri wangeshauriana ndani ya kamati kuu yao wamtafutie zawadi nyingine ndogo tu au hata tuzo maalum kama lama tu ya utenadji wake ndani ya Chadema wamkabidhi inatosha kwa sababu kiukweli kabisa mheshimiwa Mbowe hahitaji gari na hata akihitaji gari aina yoyote ananunua tu kwa pesa zake. Mbowe amezaliwa amekuta gari zipo nyumbani wakati huo wenye magari wanahesabika na hata yeye mwenyewe ameanza kumiliki magari miaka ya mwanzoni ya 80 huko na sio "baby walker" bali ndinga kabisa.
Hujajibu swali mkuuUFIPA ni mahodari sana kuisema CCM na serikali hasa linapokuja suala la magari na matumizi ya serikali na huwa wanafika mahali wanasema gari moja thamani yake ni fedha ya kutosha kujenga sijui madarasa mangapi..
Vipi ulikuwepo kwenye besides ya Mama lakini?Wanaukumbi.
Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?
Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.
Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Tofautisha pesa za hiari na kodi zetu tunazokamuliwa kwa lazimaUFIPA ni mahodari sana kuisema CCM na serikali hasa linapokuja suala la magari na matumizi ya serikali na huwa wanafika mahali wanasema gari moja thamani yake ni fedha ya kutosha kujenga sijui madarasa mangapi..