Lema, kila siku unasema Land Cruiser V8 unaweza kujenga madarasa mengi leo unataka raia wachange wamnunulie Mbowe Gari Toyota Land Cruiser V8

😂😂😂
 
Attachments

  • IMG_2116.jpeg
    IMG_2116.jpeg
    257.8 KB · Views: 1
Msamehe Lema,hajui domestic politics za kwetu,yeye kwa sasa anaangali maslahi Refugees status Canada.
Lema yupo sahihi.
Shoo alinunuliwa gari na sisiem sasa shida ni nini?
Labda mngeuliza watu watachangaaaa? Hivyo labda
Jibu ni wasingechanga wangęsema ‘ametufanya hamnazo for 20th s plus hatuna pesa ya kuchangia msali’$&ti’
 
Najua inajikosha tu na huna hata chembe ya huruma na wananchi ndio maana kwa mbowe unabwabwaja lakini zilitengwa bil. 700 za kununua magari unsfyata mkia maana unaogopa kutekwa na kupotezwa kwa sababu ya kusema ukweli .

Hakuna mtu anayekataa viongozi wa juu kupewa zawadi na wananchi wao .
Pesa zinazotoka mifukoni mwa wanachama ni kama sadaka zinazotolewa tu. Kwa hadhi na heshima ya Mbowe kama kiongozi wa juu wa chama anapaswa kupewa heshima kubwa .

Tofauti na kukaa bungeni kisha kutenga bil 700 za kununulia magari ya kifahari kwa watendaji wa wizara tu .Huo ni uhuni wa kijinga . Bil. na 700 zinatosha kujenga barabara ya mpya kutoka Dar es salaam mpaka Arusha na kupunguza ajali zinazotokana na uchakavu na ufinyu wa barabara hiyo iliyojaa mashimo.

Siku zote hakina mtu aliyewahi kupinga magari kwa viongozi wa juu wa umma .
Magari ya kifahari kwa :
Mh.Rais
Makamu wa Rais .
Waziri Mkuu.
Naibu waziri mkuu
Spika wa Bunge,
Jaji Mkuu
Karibu kiongozi
CDF
IGP
DGP
Manadhimu mkuu wa majeshi .
n.k.

Watu wasiozidi 50 tu hao ndio wanaostahili kununuliwa na kupewa yenye hadi ya juu zaidi.
Lakini huu ufisadi wa kupeana magari kama mchongo tu wa kuagiza magari kwa sababu ya 10% ni uhuni na hasara kubwa na yanapata ajali sana kutokana na miundombinu mibovu isiyoendana na hali ya magari hayo na speed yake kubwa 260KPH .

Mbowe amekaa madarakani kwa miaka 20 leo ndio anapewa gari kwa michango ya watu ubayo upo wapi kama sio uchawi wa machawa wa CCM . Bunge kila mwaka wanaletewa bajeti ya magari ya kifahari ya serikali wakati shule zote za serikali hazina hata Lory la kubeba mahindi .

Tena huo ndio mfano wa kuigwa . Hata Nyerere aliyekaa madarakani kwa miaka 25 hakujillimbikizia mali wala kujenga majumba huko nje wala kula mkoa kama walimfuata lakini zlijengewa nyumba moja tu wakati wa kustaafu kwa heshima ya uzalendo wake waliokaa miaka 10 na wengine huko Oman miaka 4 lakini ni matrilionea .

Ni mfano wa kuigwa tofauti na wale mafisadi waliostaafu wakiwa matrilionea lakini bado zinatolewa kodi za wananchi wanajengewa majumba ya ziada ya kifahari na magari ya kifahari na mishahara 75 % ya anayekua madarakani . Huu ndio ubadhirifu wa fedha za umma. Hospitali hazina pamba na nyembe kwa akina mama kujifungulia .

Michango ni hiyari na sio bajeti ya Chama chao . Lema ni mtu safi mwenye nia na dhamira safi kabisa sio wale mafisadi wanaopitisha bajeti ya kulipa mpaka wenza wa wakubwa ili hali nchi haina uwezo hata wa kutunza vyombo vyake vya ulinzi mpaka wakafie huko Kongo wakipigania uporaji wa madini wa Mabeberu ndipo waboreshe maisha yao nao waishi vizuri. Ufisadi wa fedha za umma tutaupinga bila kupepesa macho maana serikali inashindwa hata kulipa stahiki kwa watumishi wake ambao hawafiki hata 4% ya watu wote kwenye rasilimali nyingi.

Siku Afrika itakaposhtukia mchezo wa Marekani ndio utakua mwisho wa watawala mafisadi maana vita vya Kongo vinavyogharamikiwa na Mabepari kwa ajili ya kulba dhahabu huku wakiwa wanalipa majeshi ya UN kama walinzi wao ,vita hivyo siku vikiisha nchi zote zitarejesha wanajeshi wake na watakua na maisha magumu ndipo watakapoanzisha vuguvugu la kuwatoa majizi madarakani na kupiga mnada mali zao zote na kununua gloves hospitaliini.

ya Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?

Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakunaiku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.

Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge waoewr
 
Hoja hizi hizi ungezielekezea kwenye Chama chako kinachoongoza serikali ungekuwa umewasaidia sana watoto wanaokaa chini kwa kukosa madawati.
 
Wanaukumbi.

Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?

Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.

Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Wanajikomba baada ya kumdhalilisha na kuutweza utu wake.............. by Katikomile
Lema bado anamsakama Mbowe pamja na matusi yote aliyomtukana na kumsingizia
Chadema imebaki mikononi mwa washenzi watupu!
 
Lema alimsaliti Mbowe leo anataka wamnunulie v8!
 
😂😂😂 Dah,

Ukisikia wanawaita waadilifu, wakwel utadhani kweli..

Kuna mmoja kachangiwa mil 132 mpaka sasa anasema haitosh kununua gari
Kwani uadilifu ni kutoomba pesa?.
Unajua maana ya uadilifu au unasikiaga tu neno uadilifu?.
 
Wanajikomba baada ya kumdhalilisha na kuutweza utu wake.............. by Katikomile
Lema bado anamsakama Mbowe pamja na matusi yote aliyomtukana na kumsingizia
Chadema imebaki mikononi mwa washenzi watupu!
Tuliwaambia mtu wenu anashindwa mkakaza shingo, leo mnaandika kwa wivu kumtukana Lissu.
Aliyejaliwa kajaliwa tu.
 
Wanajikomba baada ya kumdhalilisha na kuutweza utu wake.............. by Katikomile
Lema bado anamsakama Mbowe pamja na matusi yote aliyomtukana na kumsingizia
Chadema imebaki mikononi mwa washenzi watupu!
Mkuu siasa haina rafiki wala adui, na Lema anaiishi hii kanuni.

Kwenye kinyang'anyiro kilichopita kila upande ulibagaza upande kinzani, ni kawaida kwenye siasa.

Kwa kauli yako na ndugu Henry Kilewo inadhihirisha wazi kuwa uongozi wa Mbowe na maswahiba wake wasingiweza kuleta upinzani unaoendana nguvu ya chama tawala.

Kama Mbowe kuambiwa tu ukweli wanagueza ukweli huo kuwa ni matusi inaonesha kuwa uwezo wao ulisha fika mwisho.

Mkuu ukweli ni kwamba duniani kote siasa inahitaji misimamo mikali, maneno magumu, kupelekana mkikimkiki na kutoana mkukumkuku. Hakuna heshima wala ustaraabu kwenye siasa.

Tazama picha halisi ya siasa, Lisu yupo vile kwa sababu ya siasa, mwaka jana tu Rais Trump kala shaba ya sikio kwa sababu ya siasa, Salim Ahmed Salim aliukosa urais kwa kubagazwa kuwa ni hisbu kwa sababu ya siasa na kadhalika.

Mkuu watu wengi wamekufa, wamelemazwa, wamefungwa au ni wakimbizi ndani na nje ya nchi hii kwa sababu ya siasa.
 
Wanaukumbi.

Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?

Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.

Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Ni pesa za michango ya hiari sio zile za wananchi kwa ajili ya huduma
Ila ccm mna hasira kweli😂 kisa project imefeli😂😂
 
Kwa mtizamo wangu naona ingekuwa busara kama Lema angehamsisha watu wamalizie mchango wa gari la Lisu kwa kuwa mpaka sasa hana gari na lile lenye matundu ya risasi liwekwe mahali kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Na kuhusu Mbowe nafikiri wangeshauriana ndani ya kamati kuu yao wamtafutie zawadi nyingine ndogo tu au hata tuzo maalum kama alama tu ya utenadji wake ndani ya Chadema wamkabidhi inatosha kwa sababu kiukweli kabisa mheshimiwa Mbowe hahitaji gari na hata akihitaji gari aina yoyote ananunua tu kwa pesa zake. Mbowe amezaliwa amekuta gari zipo nyumbani wakati huo wenye magari wanahesabika na hata yeye mwenyewe ameanza kumiliki magari miaka ya mwanzoni ya 80 huko na sio "baby walker" bali ndinga kabisa.
 
Jibu ni wasingechanga wangęsema ‘ametufanya hamnazo for 20th s plus hatuna pesa ya kuchangia msali’$&ti’
Lema Toka achangishe watu mayai na hakurejesha hesabu zinazoeleweka....nilimuamishia kundi lingine.
 
Wanaukumbi.

Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?

Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.

Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Vyuma vya siku hizi Land Cruiser ni V6 engine ndogo ila balaa kubwa.View attachment 3215095
ZX iyo 3.3L Diesel V6

We Mjinga Lema Hakusema V8 ya Rais iuzwe yajengwe madarasa, alikuwa anahoji utitiri wa V8, Mbowe ni mmoja, na ni amekuwa kiongozi wa Chama, shirikisha kichwa cha juu!
 
Kwa mtizamo wangu naona ingekuwa busara kama Lema angehamsisha watu wamalizie mchango wa gari la Lisu kwa kuwa mpaka sasa hana gari na lile lenye matundu ya risasi liwekwe mahali kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Na kuhusu Mbowe nafikiri wangeshauriana ndani ya kamati kuu yao wamtafutie zawadi nyingine ndogo tu au hata tuzo maalum kama lama tu ya utenadji wake ndani ya Chadema wamkabidhi inatosha kwa sababu kiukweli kabisa mheshimiwa Mbowe hahitaji gari na hata akihitaji gari aina yoyote ananunua tu kwa pesa zake. Mbowe amezaliwa amekuta gari zipo nyumbani wakati huo wenye magari wanahesabika na hata yeye mwenyewe ameanza kumiliki magari miaka ya mwanzoni ya 80 huko na sio "baby walker" bali ndinga kabisa.

Hii ni sahihi
 
UFIPA ni mahodari sana kuisema CCM na serikali hasa linapokuja suala la magari na matumizi ya serikali na huwa wanafika mahali wanasema gari moja thamani yake ni fedha ya kutosha kujenga sijui madarasa mangapi..
Hujajibu swali mkuu
 
Wanaukumbi.

Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi?

Watanzania mnatakiwa kujua kuwa watu hawa ni wajinga na hakuna siku wamewahi kuwapigania watanzania na hakuna siku wamewahi kuwa na nia ya dhati ya kuwaondoa kwenye shida zenu na umasikini ndiyo maana wakishika nafasi za uongozi wanachowaza ni kujilimbikizia mahela na si vinginevyo.

Soma Pia: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

Halafu huyu ndiyo alikuwa mbunge wa Arusha! Sina uhakika kama ni watu wa Arusha hawana maarifa au huyu ndiyo hana maarifa mpaka akaonekana ndiye anafaa kuwa mbunge wao
Vipi ulikuwepo kwenye besides ya Mama lakini?
 
UFIPA ni mahodari sana kuisema CCM na serikali hasa linapokuja suala la magari na matumizi ya serikali na huwa wanafika mahali wanasema gari moja thamani yake ni fedha ya kutosha kujenga sijui madarasa mangapi..
Tofautisha pesa za hiari na kodi zetu tunazokamuliwa kwa lazima
 
Back
Top Bottom