900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
ulitaka msemaji awe mrema do ujue chama kinaenda akili ndogoChama kinaongozwa na watu watatu Lisu,heche na lema
Lema ndio msemaji Mkuu π
Alafu wanataka Mabadiliko watapiga kelele huku na huko watachoka
Huyu jamaa ana tofauti gani na Makonda? Badala ya kujibu hoja zao yeye anajikita kwenye uchafuzi. Yaani watu kama Mrema, Ruge, Suzan hawawezi kujiamulia kitu mpaka watumwe?!!! Ovyo sana.
Amandla....
Nabii pekee tanzania ambaye unabii wake huwa unatimia kwa %100Lema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Na Lema na Lisu nao ni njaa. Wadanganye wajinga. Mko kwenmye siasa mkitegemea kupata pesa/kuongoza serikali muwe mawziri etc kupata pesa. Mwizi wa magariMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama βbidhaaβ bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
Umepanic sana lakini lazima uumbuliwe tu. No reforms no election imeshakuwa ajenda ya kifaifa. No wayLema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Chawa wa mama haoHuyu jamaa ana tofauti gani na Makonda? Badala ya kujibu hoja zao yeye anajikita kwenye uchafuzi. Yaani watu kama Mrema, Ruge, Suzan hawawezi kujiamulia kitu mpaka watumwe?!!! Ovyo sana.
Amandla....
Ukimya wa Mbowe baada ya Uchaguzi mpaka sasa umeficha mengi.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama βbidhaaβ bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
unasemaje eti gentleman?π
LAKINI ALISEMA FOR SURE KUWA NIKISHINDWA NAKWENDA KUFANYA BIASHARA ZANGU KUTAFUTA MAPEKECHEE................... You have a point, though........DEFINITELY HATUKUTEGEMEA AWE KIMYA NAMNA HII
Hata mwehu anajua hawa kina Mrema wanatumikaLema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
KumekuchaaaMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama βbidhaaβ bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
Mtaumbuka tu......Mlizoea kuua na kuteka watu mpate hela.Lema ni fyatu kama Lisu
Mpaka wamalize kuparuana wawe stable ccm imeshaimarisha kambi kwa mara nyingine kwa ajili ya 2030-2035.Nilitamani CDM ijikite kwenye kuibua Vijana mashuhuri wapya kuliko kuendeleza mizozo
π π π
LIssu angekuwa na njaa asingeacha hela za CCM. CCM wasingeshindwa kumpa hata 1b akakaa kimyaNa Lema na Lisu nao ni njaa. Wadanganye wajinga. Mko kwenmye siasa mkitegemea kupata pesa/kuongoza serikali muwe mawziri etc kupata pesa. Mwizi wa magari
Ccm ina kambi gani? Hakuna chama hapo.Mpaka wamalize kuparuana wawe stable ccm imeshaimarisha kambi kwa mara nyingine kwa ajili ya 2030-2035.
Ubaya wa Lissu hahongeki....Ametumwa na Mungu na wala hafii hata kwa BomuLIssu angekuwa na njaa asingeacha hela za CCM. CCM wasingeshindwa kumpa hata 1b akakaa kimya
LIssu angekuwa na njaa asingeacha hela za CCM. CCM wasingeshindwa kumpa hata 1b akakaa kimyaNa Lema na Lisu nao ni njaa. Wadanganye wajinga. Mko kwenmye siasa mkitegemea kupata pesa/kuongoza serikali muwe mawziri etc kupata pesa. Mwizi wa magari
Ndo changamoto hii. Kuamini mpinzani wako ni mwepesi mno na wewe ni heavy weight.Ccm ina kambi gani? Hakuna chama hapo.