kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...
maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...
ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...
kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....
baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...
mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...
ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo....
muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒