Tetesi: Lema kutimkia CCM

Tetesi: Lema kutimkia CCM

kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...

maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...

ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...

kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....

baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...

mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...

ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo....

muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒
Aisee 😯, aliyekuwa anasemwa mwizi wa magari anaenda kuwa mtu msafi, siasa za nchi hii 😇😇😇
 
Thibitisha.
 
Propaganda za kijinga sana tena duni mno! Tangu uingie JF wewe ni tetesi tu, hivi hujawahi kuwa na habari zingine?

Hakika ccm ina vijana Wajinga sana!

Sasa hapa unatafuta Posho au unataka "LIKE" za jf?

Naomba nikupe ujumbe huu ili uufukishe kwa wakuu wa CHADEMA.
Iko hivi Mimi na wanakikundi au wanaumoja wenzangu kutoka Kanda ya ziwa tunaofika 60 elfu,tuliamua kwa kauli moja kua kuanzia siku hiyo tulikubaliana kua hatutajishughulisha Tena na mambo ya chadema.

Hatutaenda kwenye mikutano Yao,hatuta hudhuria semina zao,makongamano Yao,warsha zao wala hatutatafuta Tena habari zao.

Tuliafikiana kua kama CHADEMA wakiamua kupigana Wacha wapigane wakichoka kupigana wataacha,wakifanya mikutano Yao wataenda watu wapya wasiowajua,tena sisi tutawaambia waende wakawasikilize,lkn sisi hatuendi ng'o.

Kitu pekee tulichokubaliana ni kwamba ukitokea uchaguzi wowote tutakachowafanyia hao chadema itakua ni historia,yaani kwa umoja wetu wa Wanachama elfu sitini na watu wetu wote wanaotutegemea na kutuamini tumesema kua, kuanzia kura za serikali za mitaa,Udiwani,Ubunge na Urais kura zetu zote za NDIO ni kwa CHADEMA.
Hatutaki mikutano Yao sio kwa sababu hatuwapendi ,no,Bali kwa sababu elimu waliyotupa imetuingia vema,inatutosha,watu wapya kwa CHADEMA ndio waende ili kupata elimu,sisi tumehitimu.
CHADEMA ✔️
 
kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...

maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...

ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...

kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....

baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...

mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...

ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo....

muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒
Mtasubiri saanaaa😂
 
Upuuzi mtupu,yupo na Llissu Singida
 
Lee Vladimir Cleef,kichwa kitumike kuhifadhi ubongo na kwa muktadha huo kuwa na akili, we chako Cha kufugia nywele.
Nyie watu elfu sitini mlikutana wapi na lini na wana impact gani kwenye mamilioni ya wapiga kura?
Upuuzi na utoto mtupu.
 
Back
Top Bottom