Tetesi: Lema kutimkia CCM

Dhambi hiyo ya usaliti kwa wafuasi Wake ataitubu wapi na lini? Je atasema Chadema mbaya? Kwan hakuna vyama vingine lazima iwe CCM? Ataunga mkono kuuzwa bandari? Siamini kabisa. Maneno yake aliyokuwa anayasema kuhusu CCM atayafuta? Katiba nayo itakuwa imebadilika huko anakokwenda? Tume huru je? Nina maswali kibao .............. Najua ana akili timamu hawezi
 
Lemma hakukubaliana na maridhiano na CCM halafu yeye anahamia huko CCM,what a contradiction!!!
 
Atapokewa na Bodaboda?
 
Kuhusu CHADEMA ninaamini taarifa anazotoa Erythrocyte na si vinginevyo
 
Propaganda za kijinga sana tena duni mno! Tangu uingie JF wewe ni tetesi tu, hivi hujawahi kuwa na habari zingine?

Hakika ccm ina vijana Wajinga sana!

Sasa hapa unatafuta Posho au unataka "LIKE" za jf?

 
Hii itakuwa ndoto ya saa sita mchana🤣🤣
 
Wangempokea haraka kuogopa asije kubadili mawazo.
 
Ile ndoto ya LEMA iliyopelekea akaenda KISONGO ninyi wana CCM mnaichukuiliaje hasa baada ya kutimia kama alivyo tabiri kupitia ndoto ile?

Je,mnamchukua kama mtabiri ama kama mwanachama?

Je,mtakuwa mnaachiana maji mezani au hofu ya Kumu-mangula kila mmoja wenu itatawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…