Tetesi: Lema kutimkia CCM

Kama huamini, anzisha mada inayohusu ccm na makada wake, uone ni I'd ngapi zitachangia Uzi huo.
hiyo inanisaidia nini sasa mimi? Labda wewe πŸ’

nilivyo tyt hivi nianze fatilia nani, au IDs ngapi zimechangia nini kwenye bandiko zangu zipi, si kupoteza muda huko sasa 🀣

kama huna interest na kitu fulani kuna haja gani kubabaika nacho, unaachana nacho unatafuta au kucheck kile unainterest nacho unasoma na ikibidi unakoment πŸ’

ni uhuru na uamuzi binafsi wa mwana member wa JF kuamua kufuatilia ama kufuatilia mabadiliko yako na tena umepewa uhuru wa ziada wa kuignore na kublok kabisa kumsoma mtu, sasa wew sijui unababaika na kukwamia wap na nyuzi zangu muhimu sana na elimishiπŸ’
 
Narudia tena, ukiweka post ya hao utopolo wenzio unakwama, namna pekee ni kubumba za cdm Ili upate wachangiaji wengi. Na haya maelezo marefu yanaonyesha ujumbe umefika kunako.
 
Sijakurupuka bali wewe hujajipanga kwenye huu uzushi wako. Unaweza kudanganya lakini at least uwongo wako ufanane na ukweli.
sina haja kumdanganya mtu mnyonge na mpole kama wewe licha ya mihemko na ghadhabu dhidi ya hoja yangu...
ni vizuri kusoma taratibu na ukapata ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya hoja ya msingi mezani ndipo ukaja kureply, vinginevyo naona huruma kukuelezea kwa lugha ya kitaalamu ntakuconfuse zaidi πŸ’
 
Ungekuwa una akili kubwa ungekubali kuwa chawa?
 
Narudia tena, ukiweka post ya hao utopolo wenzio unakwama, namna pekee ni kubumba za cdm Ili upate wachangiaji wengi. Na haya maelezo marefu yanaonyesha ujumbe umefika kunako.
kwahiyo cdm huwa wanachangia au ni mihemko na matusi tu?πŸ’

au unamaanisha niweke bandiko ili nipate matusi mengi zaidi?

suala la uchangiaji wa hoja na mada mbalimbali muhimu humu JF, mara nyingi huchangiwa na watu makini sana, wenye hekima na busara za pekee mno, wasio na chembe za mihemko licha ya kutofautiana kimaoni au mtazamo juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchmi, kitaifa na kimataifa πŸ’
 
Yaani kweli watu wazima na akili zenu zote mnazidi kupoteza muda wenu kuujadili huu upuuzi wa mgonjwa mmoja kwa kiwango hiki? Nawashauri nyote mlio na akili timamu, mpuuzeni mleta mada na mada zake za kipuuzi.

Wapuuzi wanatafuta kila mara wamwandike Lisu, Mbowe, Msigwa, Lema, Mnyika, Sugu ili wapate attention. Maana hao watu ndio profiles za juu kabisa kwenye siasa za Tanzania kwa sasa.
 
Ungekuwa una akili kubwa ungekubali kuwa chawa?
"unge"
ni kiungo cha ubishi πŸ’

nimekusaidia vya kutosha kupata uelewa na ufahamu muhimu juu ya hoja yangu ya msingi, unaleta mihemko ambayo haina maana yoyote kwangu, basi baki na ulichoambulia, si lazima uelewa vya kutosha pia πŸ’
 
Ww hata kutukanwa ni kupewa sifa usiyostahili. Nasisitiza weka post ya hao utopolo wenzio uone idadi ya post. Huko kwa cdm ndio unaweza kupitia umaarufu.
 
Tatizo hamjifunzi, mliwachukua akina Dr. Slaa, akina Lijuakali, Mashindi, Joshua Nassari, mkaona haitoshi, mwaka 2020 mkaamua kuuiba na kuuharibu hadi uchaguzi mkuu wote lakini hiyo CHADEMA bado ipo, hadi mkaamua kuumba viumbe viitwavyo COVID19 yote imeshindikana.
Hamjifunzi tu kwamba kwa hali ilivyo ni bora mchague kubadilika maana hila zimeshafika ukomo
 
kamanda umenifurahisha sana 🀣

umejificha kwa kujivunga weee , kwamba huoni kinachoendelea huku moyo unakufurukutwa dukuduku la kutaka kusema lakini hujui uanzie wap πŸ’

umesoma gazeti za leo kwanza 🀣

sasa unapowataja watu kwa majina yao, na unapokiri kabisa wako kwenye profile za juu kabisa kwenye siasa za Tanzania,

halafu wakati huo huo unakuja ati kunitusi kwamba sijui nini,
saa zingine mihemko inachekesha sana 🀣

sasa hapo mpuuzi ni wewe, hao ulio wataja walioko kwenye profile za juu kwenye siasa za Tanzania kwa mujibu wako, vyombo vya habari au mitandao ya kijamii?πŸ’
 
Matatizo ya akili ha
Matatizo ya akili hayo
 
Ww hata kutukanwa ni kupewa sifa usiyostahili. Nasisitiza weka post ya hao utopolo wenzio uone idadi ya post. Huko kwa cdm ndio unaweza kupitia umaarufu.
kamanda tuliza mihemko kidogo bas,
mm sipo hapa ili wew au mwingine achangie kwenye bandiko zangu...

this is free platform, hulazimishwi kusoma au kuchangia mada mbalimbali humu πŸ’
 
nadhani wakati ule,
waliomchukua hayati Lowasa na kumtosa Dr.Slaa, na waliomchukua hayati Membe ndio zaidi wana paswa kujifunza πŸ’
 
Aje tu,ukiwa mwana siasa hutakiwi kuwa na aibu,unachotakiwa uangalie maslahi yako huku unavunga kujifanya una uchungu na wananchi....
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
mihemko ghadhabu na matusi bakini nayo huko huko itapendeza zaidi πŸ’

hoja na mijadala mbalimbali ya kisiasa kiuchumi na kijamii, kitaifa na kimataifa acheni kwa waungwana makini, wenye hekima na busara zao wajadiliane kwa upendo kama familia ya JF bila matusi ya aina yoyote πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…