Tetesi: Lema kutimkia CCM

Tetesi: Lema kutimkia CCM

Kama huamini, anzisha mada inayohusu ccm na makada wake, uone ni I'd ngapi zitachangia Uzi huo.
hiyo inanisaidia nini sasa mimi? Labda wewe 🐒

nilivyo tyt hivi nianze fatilia nani, au IDs ngapi zimechangia nini kwenye bandiko zangu zipi, si kupoteza muda huko sasa 🤣

kama huna interest na kitu fulani kuna haja gani kubabaika nacho, unaachana nacho unatafuta au kucheck kile unainterest nacho unasoma na ikibidi unakoment 🐒

ni uhuru na uamuzi binafsi wa mwana member wa JF kuamua kufuatilia ama kufuatilia mabadiliko yako na tena umepewa uhuru wa ziada wa kuignore na kublok kabisa kumsoma mtu, sasa wew sijui unababaika na kukwamia wap na nyuzi zangu muhimu sana na elimishi🐒
 
Narudia tena, ukiweka post ya hao utopolo wenzio unakwama, namna pekee ni kubumba za cdm Ili upate wachangiaji wengi. Na haya maelezo marefu yanaonyesha ujumbe umefika kunako.
 
Sijakurupuka bali wewe hujajipanga kwenye huu uzushi wako. Unaweza kudanganya lakini at least uwongo wako ufanane na ukweli.
sina haja kumdanganya mtu mnyonge na mpole kama wewe licha ya mihemko na ghadhabu dhidi ya hoja yangu...
ni vizuri kusoma taratibu na ukapata ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya hoja ya msingi mezani ndipo ukaja kureply, vinginevyo naona huruma kukuelezea kwa lugha ya kitaalamu ntakuconfuse zaidi 🐒
 
Ungekuwa una akili kubwa ungekubali kuwa chawa?
 
Narudia tena, ukiweka post ya hao utopolo wenzio unakwama, namna pekee ni kubumba za cdm Ili upate wachangiaji wengi. Na haya maelezo marefu yanaonyesha ujumbe umefika kunako.
kwahiyo cdm huwa wanachangia au ni mihemko na matusi tu?🐒

au unamaanisha niweke bandiko ili nipate matusi mengi zaidi?

suala la uchangiaji wa hoja na mada mbalimbali muhimu humu JF, mara nyingi huchangiwa na watu makini sana, wenye hekima na busara za pekee mno, wasio na chembe za mihemko licha ya kutofautiana kimaoni au mtazamo juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchmi, kitaifa na kimataifa 🐒
 
Yaani kweli watu wazima na akili zenu zote mnazidi kupoteza muda wenu kuujadili huu upuuzi wa mgonjwa mmoja kwa kiwango hiki? Nawashauri nyote mlio na akili timamu, mpuuzeni mleta mada na mada zake za kipuuzi.

Wapuuzi wanatafuta kila mara wamwandike Lisu, Mbowe, Msigwa, Lema, Mnyika, Sugu ili wapate attention. Maana hao watu ndio profiles za juu kabisa kwenye siasa za Tanzania kwa sasa.
 
Ungekuwa una akili kubwa ungekubali kuwa chawa?
"unge"
ni kiungo cha ubishi 🐒

nimekusaidia vya kutosha kupata uelewa na ufahamu muhimu juu ya hoja yangu ya msingi, unaleta mihemko ambayo haina maana yoyote kwangu, basi baki na ulichoambulia, si lazima uelewa vya kutosha pia 🐒
 
kwahiyo cdm huwa wanachangia au ni mihemko na matusi tu?🐒

au unamaanisha niweke bandiko ili nipate matusi mengi zaidi?

suala la uchangiaji wa hoja na mada mbalimbali muhimu humu JF, mara nyingi huchangiwa na watu makini sana, wenye hekima na busara za pekee mno, wasio na chembe za mihemko licha ya kutofautiana kimaoni au mtazamo juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchmi, kitaifa na kimataifa 🐒
Ww hata kutukanwa ni kupewa sifa usiyostahili. Nasisitiza weka post ya hao utopolo wenzio uone idadi ya post. Huko kwa cdm ndio unaweza kupitia umaarufu.
 
Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.

Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.

Mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba, ndipo Kamanda Lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi mmoja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya. Kwa ahadi kwamba mwandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu Lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo.

Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Tatizo hamjifunzi, mliwachukua akina Dr. Slaa, akina Lijuakali, Mashindi, Joshua Nassari, mkaona haitoshi, mwaka 2020 mkaamua kuuiba na kuuharibu hadi uchaguzi mkuu wote lakini hiyo CHADEMA bado ipo, hadi mkaamua kuumba viumbe viitwavyo COVID19 yote imeshindikana.
Hamjifunzi tu kwamba kwa hali ilivyo ni bora mchague kubadilika maana hila zimeshafika ukomo
 
Yaani kweli watu wazima na akili zenu zote mnazidi kupoteza muda wenu kuujadili huu upuuzi wa mgonjwa mmoja kwa kiwango hiki? Nawashauri nyote mlio na akili timamu, mpuuzeni mleta mada na mada zake za kipuuzi.

Wapuuzi wanatafuta kila mara wamwandike Lisu, Mbowe, Msigwa, Lema, Mnyika, Sugu ili wapate attention. Maana hao watu ndio profiles za juu kabisa kwenye siasa za Tanzania kwa sasa.
kamanda umenifurahisha sana 🤣

umejificha kwa kujivunga weee , kwamba huoni kinachoendelea huku moyo unakufurukutwa dukuduku la kutaka kusema lakini hujui uanzie wap 🐒

umesoma gazeti za leo kwanza 🤣

sasa unapowataja watu kwa majina yao, na unapokiri kabisa wako kwenye profile za juu kabisa kwenye siasa za Tanzania,

halafu wakati huo huo unakuja ati kunitusi kwamba sijui nini,
saa zingine mihemko inachekesha sana 🤣

sasa hapo mpuuzi ni wewe, hao ulio wataja walioko kwenye profile za juu kwenye siasa za Tanzania kwa mujibu wako, vyombo vya habari au mitandao ya kijamii?🐒
 
Matatizo ya akili ha
Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.

Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.

Mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba, ndipo Kamanda Lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi mmoja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya. Kwa ahadi kwamba mwandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu Lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo.

Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Matatizo ya akili hayo
 
Ww hata kutukanwa ni kupewa sifa usiyostahili. Nasisitiza weka post ya hao utopolo wenzio uone idadi ya post. Huko kwa cdm ndio unaweza kupitia umaarufu.
kamanda tuliza mihemko kidogo bas,
mm sipo hapa ili wew au mwingine achangie kwenye bandiko zangu...

this is free platform, hulazimishwi kusoma au kuchangia mada mbalimbali humu 🐒
 
Tatizo hamjifunzi, mliwachukua akina Dr. Slaa, akina Lijuakali, Mashindi, Joshua Nassari, mkaona haitoshi, mwaka 2020 mkaamua kuuiba na kuuharibu hadi uchaguzi mkuu wote lakini hiyo CHADEMA bado ipo, hadi mkaamua kuumba viumbe viitwavyo COVID19 yote imeshindikana.
Hamjifunzi tu kwamba kwa hali ilivyo ni bora mchague kubadilika maana hila zimeshafika ukomo
nadhani wakati ule,
waliomchukua hayati Lowasa na kumtosa Dr.Slaa, na waliomchukua hayati Membe ndio zaidi wana paswa kujifunza 🐒
 
Aje tu,ukiwa mwana siasa hutakiwi kuwa na aibu,unachotakiwa uangalie maslahi yako huku unavunga kujifanya una uchungu na wananchi....
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
mihemko ghadhabu na matusi bakini nayo huko huko itapendeza zaidi 🐒

hoja na mijadala mbalimbali ya kisiasa kiuchumi na kijamii, kitaifa na kimataifa acheni kwa waungwana makini, wenye hekima na busara zao wajadiliane kwa upendo kama familia ya JF bila matusi ya aina yoyote 🐒
 
Back
Top Bottom