Tetesi: Lema kutimkia CCM

Tetesi: Lema kutimkia CCM

mihemko ghadhabu na matusi bakini nayo huko huko itapendeza zaidi 🐒

hoja na mijadala mbalimbali ya kisiasa kiuchumi na kijamii, kitaifa na kimataifa acheni kwa waungwana makini, wenye hekima na busara zao wajadiliane kwa upendo kama familia ya JF bila matusi ya aina yoyote 🐒
Wewe chawa tu na utabaki hivyo maisha yako yote
 
Na wewe komaa tu na uchawa wako ndiyo maisha uliyoyachagua.
ni afadhali ubaki hivyo hivyo hujui wala kuelewa chochote ispokua kuhemka na ghadhabu ambazo hazina madhara, umuhimu wala maana yoyote 🐒
 
Nimezipokea kaka. Vipi hapa hapa nyumbani au bado unakimbiza kulekule?
kulekule atakua kaishatoka maana hajasomeka kitambo sana pande zile..

vip wewe kwani bado unakomaa na zilezile mishe, mulemule kitaa?🐒
 
kulekule atakua kaishatoka maana hajasomeka kitambo sana pande zile..

vip wewe kwani bado unakomaa na zilezile mishe, mulemule kitaa?🐒
Kuna watu wawili nawaona wamekwazana baada ya mmoja kumkumbushia mwenzake kwamba we masikini upo! Eti kwa sababu tu alikuta mjadala kama huo wakuitana masikini.
Kumbe sababu ilikuwa kama hii..
 
Kuna watu wawili nawaona wamekwazana baada ya mmoja kumkumbushia mwenzake kwamba we masikini upo! Eti kwa sababu tu alikuta mjadala kama huo wakuitana masikini.
Kumbe sababu ilikuwa kama hii..
hapakua na haja ya ugomvi kuhusu tu umaskaini bana..

binadamu tuna umaskini wa hali na namna mbalimbali, na kwahivyo naweza sema umaskini ni sehemu ya maisha ya mwanadamu.....

kuna umaskini wa roho, hali, fedha na mali, umaskini wa fikara, makazi, mavazi malazi, njaa, kiu n.k

hujawahi kuskia kwamba kuna matajiri wa mali na fedha, lakini ni maskini wa kutupwa wa kukosa amani, hawapati usingizi na hawapendi wala kupendeka kwa jamii, hawawezi kuishi na mke au mume kwenye nyumba moja tena ya ghorofa na maru maru kwa upendo na amani...

lakini maskini wa fedha na mali hadi kwenye dalaladala ana uchapa usngizi mwanana kwa amani na utulivu, anapendwa na anaipenda jamii inayomzunguka, ame oa au kuolewa na wanaishi kwa amani na upendo kwenye nyumba yao ya udongo na matope.....

umaskini si kitu kizuri,
ila kwa utashi, akili, nguvu na maarifa tuliojaaliwa na Mungu, tunaweza kujikwamua katika hali, hiyo tukiamua kujizatiti moja moja, na kisha baadae kwa umoja :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:
 
Nafikiri Msigwa na Lema wameshaongea na kupanga, kaanza Msigwa, subiri utasikia nae Lema anafuata.
 
Back
Top Bottom