Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Atapewa nafasi ya aliyetimuliwa pale kata ya Ambureni.Atapewa zile pikipiki za kijani kwa ajili ya Shughuli za chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapewa nafasi ya aliyetimuliwa pale kata ya Ambureni.Atapewa zile pikipiki za kijani kwa ajili ya Shughuli za chama
uzur tusha expience uzi ukiletwa na watu kama Tlaatlaah hakuna jipya!!Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.
Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.
Mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba, ndipo Kamanda Lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi mmoja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya. Kwa ahadi kwamba mwandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu Lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo.
Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Mnyeti we mnyeti mwenye nyeti zenye M Pox acha kulala na nyati utaangamiza taifa!Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.
Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.
Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Huyo Lema ameshiba miguu ya kuku, hakawii kurukia Canada mambo yakimfika shingoni.Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.
Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.
Mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba, ndipo Kamanda Lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi mmoja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya. Kwa ahadi kwamba mwandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu Lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo.
Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Mkuu siasa inalipa siku hizi, mkifikiana bei tu mnafanya biashara.na hiyo si ndiyo siasa right?🐒
kwahivyo unataka kusemaje kwa mfano, hebu nenda kwenye point moja kwa moja usiogope 🤣Mkuu siasa inalipa siku hizi, mkifikiana bei tu mnafanya biashara.
Watu wameacha familia zao ughaibuni wao wamerudi,familia zitaishi vipi kule?
Nataka kusema mkuu.kwahivyo unataka kusemaje kwa mfano, hebu nenda kwenye point moja kwa moja usiogope 🤣
hii haiwezi kutokea huyu mhuni apokelewe ccm? akipokelewa tunapishana yeye anaingia mimi natoka ccmKupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.
Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.
Mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba, ndipo Kamanda Lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi mmoja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya. Kwa ahadi kwamba mwandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu Lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo.
Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Wewe hunaga tetesi ni majungu tuKupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.
Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.
Mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba, ndipo Kamanda Lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi mmoja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya. Kwa ahadi kwamba mwandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu Lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo.
Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Mwalimu Nyerere aliwahi kuisema CCM, na hivi majuzi Makamu mwenyekiti wa Chadema Lisu kasema kwamba chadema si mama yake anaweza kuondoka,hii haiwezi kutokea huyu mhuni apokelewe ccm? akipokelewa tunapishana yeye anaingia mimi natoka ccm
Jungu la ccm ni sumusasa wewe si uweke karanga kama tetesi zangu ni njugu 🐒