Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi

Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi

Kutokana na msiba ningeshauri Lema aachane na hii press.
Malengo yake na waliomtuma hayatafikiwa, Mungu anajua mengi sana tusiyoyajua.

Kama alilenga kujiuzulu aandike hata kwenye Twita tutamuelewa hana impact yeyote.
 
Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma hizi ni za kweli?

Kwanini unalazimisha Maridhiano, ina maana unapinga maamuzi ya Baraza Kuu na Kamati kuu?

Hukuhudhuria kwenye msiba wa dereva wa Heche wala hukutoa pole, je tuhuma hizi ni za kweli?

Ulitoa tuhuma kuwa Heche huwa anafanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, DGIS. Je ni Kweli?

Kwanini kila hukumu ya Mkiti Lissu inapokaribia kusomwa huwa anaita press za utata. Lengo lako hasa huwa ni nini.

Ulisema Katiba mpya haisaidii kitu, kwanini unapingana na maamuzi ya chama chako na msimamo wa Mkiti wako?

Kwenye kikao cha Kamati Kuu Kigoma ulitaka Heche apishe kikao ili wajadili pesa za Tone Tone. Je ni kweli na ulikuwa na sababu gani.

Uliandika mtandaoni kuwa endapo maazimio ya Kamati Kuu yataenda kinyume (nafikiri kuhusu tone tone) utalazimika kujitetea mwenyewe. Huiamini Kamati Kuu? Na kwanini utumie press badala ya vikao halali vya chama.

Unatuhumiwa kumshawishi John Pambalu arudi nchini mambo yote umeyaweka sawa, je ni kweli?

Na mwisho, kuna tuhuma kuwa unataka Heche apishe kiti ili Mbowe arudi akiingize chama kwenye maridhiano, je tuhuma hizi ni za kweli?

Tunategemea kwenye press yako ya leo utakuja na majibu ya kuridhisha au uache ziendelee kuwa tuhuma ili Umma uje na majibu yake.
Sijawahi kumwamini Lema hata siku moja.
Lema ni mbabaishaji tangu akiwa TLP na sasa CDM.
Aliwahi kumpeleka Mawazo CCM !.
Aliwahi kuuza ubunge akiwa TLP !.
Akiwahi kuuza madini fake ya Tanzanite.
Aliwahi kuiba magari !.
CCM wanajua bei ya Lema.
Kama Lema angekuwa mwanamke bila shaka angekuwa miongoni mwa wale Covid 19.
 
Sijawahi kumwamini Lema hata siku moja.
Lema ni mbabaishaji tangu akiwa TLP na sasa CDM.
Aliwahi kumpeleka Mawazo CCM !.
Aliwahi kuuza ubunge akiwa TLP !.
Akiwahi kuuza madini fake ya Tanzanite.
Aliwahi kuiba magari !.
CCM wanajua bei ya Lema.
Kama Lema angekuwa mwanamke bila shaka angekuwa miongoni mwa wale Covid 19.
Hilo la kuuza madini feki nilikuwa sijasikia.
 
Sijawahi kumwamini Lema hata siku moja.
Lema ni mbabaishaji tangu akiwa TLP na sasa CDM.
Aliwahi kumpeleka Mawazo CCM !.
Aliwahi kuuza ubunge akiwa TLP !.
Akiwahi kuuza madini fake ya Tanzanite.
Aliwahi kuiba magari !.
CCM wanajua bei ya Lema.
Kama Lema angekuwa mwanamke bila shaka angekuwa miongoni mwa wale Covid 19.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom