Tanzania tuna Mwanaume mmoja tu😂😂Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
View attachment 3585997
Lisu ndiye shujaa. Kama atafia Jela atakuwa Shujaa wa muda wote
Mpaka sasa Historia itaaandikwa
Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
View attachment 3585997
Record ya jpm ni ipi?Akifa Leo Lisu atakuwa ndiye shujaa namba moja na wamuda wote akifuatiwa na hasimu wake Jiwe, mwamba, Magufuli.
Mwisho ndio utaamua. Anaweza kugeuka dakika za jioni. So tusubiri. JPM alikufa akiwa shahidi, shujaa. Na mpaka sasa yeye anashikilia rekodi
Record ya jpm ni ipi?
HahahaHawezi kujibu, atakuja na blahblah kibao!
😁😁😁Hawezi kujibu, atakuja na blahblah kibao!
Kwenye upande wa kusimamia Hali, Lissu is undisputable
Record ya jpm ni ipi?
SawaJPM kwenye upande Kusimamia rasilimali ni undisputed
Mda mwingne najiuliza maswali yasiyo na majibu. Hivi inakuaje mtu hujiamini hadi inafika hatua ya kuweka wengne jela ndo unufaike? Ni swala la mda tu na soon lissu will be free.
huyu mama unajua hajui kabsaa siasa ni nin. Ashazoea maisha ya kuteuliwa tu mana umakamu alijikuta yupo urair wake wa kwanza akajikuta yupo huu wa sasa akadhani atajikuta tena akakurupuka. Ashajiharibia hadi basi"Bei ya lita moja ya mafuta USA ni dola 8000"
Mkuu, kwa akili hii atawezaje kushindana na Lissu kwa hoja kwenye majukwaa ya kisiasa??!!.
So kwa uelewa wake akaona solution ni Lissu awekwe ndani ili apumue!!.
Gentleman,Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
View attachment 3585997