Lema: Lissu yuko tayari kufia jela wala msihangaike na Maridhiano feki

Lema: Lissu yuko tayari kufia jela wala msihangaike na Maridhiano feki

Haki inaweza kucheleweshwa na siyo kupotea kirahisi
 
Gentleman,
hakuna la kushangaza hapo,
kwasababu,
iwe ndani ya jela iwe nje ya jela, wewe mimi, yeye na mwanadamu yeyote yule aliezaliwa na mwananke, siku zake si nyingi, tena hujaa taabu,

so,
hakuna haja ya kutafuta kiki na huruma za kijingajinga jukwaani
maridhianao ni jambo la hiyari, huyo kibaraka awepoau asiwepo, wewe mamluki wake uwepoau usiwepo, na mimi mwanasiasa mwandamizi niwepo au nisiwepo yatafanyika tua na hakuna wa kuyazuia.
Hakuna wa kuyazuia Una maana watalazimisha waridhiane CCM na wanaccm.
 
Hakuna wa kuyazuia Una maana watalazimisha waridhiane CCM na wanaccm.
maridhiano ni hiiyari gentleman,
uwepo wewe au usiwepo watafanya wengine kwasababu sio lazima uwepo au niwepo mimi
 
maridhiano ni hiiyari gentleman,
uwepo wewe au usiwepo watafanya wengine kwasababu sio lazima uwepo au niwepo mimi
Tatizo si maridhiano tatizo unaridhiana na nani, nini na kwa sababu zipi.
 
Tatizo si maridhiano tatizo unaridhiana na nani, nini na kwa sababu zipi.
hilo ni jambo la jamii ya waTanzania wote walio tayari kuridhiana,

hayahusu ambao hawako tayari kama ambavyo walikataa kufuata mkumbo wa kukinukisha licha ya kutishwa na wengine kuuawa na AZAKI
 
Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

View attachment 3585997
 

Attachments

  • 6306658-b63fad58804abb25feda5cae764f62d.mp4
    3.3 MB
Halafu ni kama hizi kesi zinazidi kuiimarisha chadema. Walijua ndio wanakiua kumbe ndio wanakiimarisha🤔🤔
 
Back
Top Bottom