Lema: Lissu yuko tayari kufia jela wala msihangaike na Maridhiano feki

Haki inaweza kucheleweshwa na siyo kupotea kirahisi
 
Hakuna wa kuyazuia Una maana watalazimisha waridhiane CCM na wanaccm.
 
Hakuna wa kuyazuia Una maana watalazimisha waridhiane CCM na wanaccm.
maridhiano ni hiiyari gentleman,
uwepo wewe au usiwepo watafanya wengine kwasababu sio lazima uwepo au niwepo mimi
 
maridhiano ni hiiyari gentleman,
uwepo wewe au usiwepo watafanya wengine kwasababu sio lazima uwepo au niwepo mimi
Tatizo si maridhiano tatizo unaridhiana na nani, nini na kwa sababu zipi.
 
Tatizo si maridhiano tatizo unaridhiana na nani, nini na kwa sababu zipi.
hilo ni jambo la jamii ya waTanzania wote walio tayari kuridhiana,

hayahusu ambao hawako tayari kama ambavyo walikataa kufuata mkumbo wa kukinukisha licha ya kutishwa na wengine kuuawa na AZAKI
 
 

Attachments

  • 6306658-b63fad58804abb25feda5cae764f62d.mp4
    3.3 MB
Halafu ni kama hizi kesi zinazidi kuiimarisha chadema. Walijua ndio wanakiua kumbe ndio wanakiimarisha🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…