johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lema mkanada ni muongo sana!Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia
Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu Wananchi kwani Leo hii kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri
Hiyo ndio tabia yako!Nabii kasema ukweli kabisa.
Kama yako ya kuombaomba Lumumba.Hiyo ndio tabia yako!
😂😂😂😂Serekali ina mapungufu ila huu ni uongo.
Kwani leo yupo wapi?Yeye si anakula vya bure huko ukimbizini alipokimbilia yeye na familia yake?
Wewe huli makange? 😄Ukiona Nabii wa Mungu anayasema hayo jua Nchi imekwisha
Mimi nina hela, tunawazungumzia makapukuWewe huli makange? 😄
Unaonekana una akili sana lakini kwanini unaweka hiyo nembo yenye gundu?Nazani wananchi wanataka ajira ziongezeke ili waweze kupata kipato cha kukidhi kula hizo nyama
Nabii kaongea kama mistali ktk kitabu kitakatifu, sio kila mtu anaweza kuelewa maandiko
Mi ni chama tawala mkuu, Yani tangu juzi mke wangu na wanangu wanauliza tutapika lini wali nyama?? Kuna watu wanazo fweza na Kuna watu hawana... Yani Kuna tabaka kubwa sana linajijenga kwa haraka la wenye wali nyama na sisi wa ugali kabichiLema mkanada ni muongo sana!
Lema anawaza kula nyama tu,yani huyu umasikini umemjaa kichwani,awaambie wanae kule Canada waache kukaa mbali nae atawehukaMjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia
Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu Wananchi kwani Leo hii kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri
YEye na GUNDU ni NDUGUUnaonekana una akili sana lakini kwanini unaweka hiyo nembo yenye gundu?
Lema anapiga haswaMjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia
Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu Wananchi kwani Leo hii kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri
Ukoo mzima wa kwenu hakuna aliyewahi kufika CanadaLema anawaza kula nyama tu,yani huyu umasikini umemjaa kichwani,awaambie wanae kule Canada waache kukaa mbali nae atawehuka