Pre GE2025 Lema: Maisha yamekuwa magumu sana. Kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia

Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu Wananchi kwani Leo hii kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri
 
Lema mkanada ni muongo sana!
 
Yeye si anakula vya bure huko ukimbizini alipokimbilia yeye na familia yake?
 
Nazani wananchi wanataka ajira ziongezeke ili waweze kupata kipato cha kukidhi kula hizo nyama

Nabii kaongea kama mistali ktk kitabu kitakatifu, sio kila mtu anaweza kuelewa maandiko
Unaonekana una akili sana lakini kwanini unaweka hiyo nembo yenye gundu?
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia

Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu Wananchi kwani Leo hii kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri
Lema anawaza kula nyama tu,yani huyu umasikini umemjaa kichwani,awaambie wanae kule Canada waache kukaa mbali nae atawehuka
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia

Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu Wananchi kwani Leo hii kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri
Lema anapiga haswa
 
Back
Top Bottom