tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
He is not that smart.Tatizo la Lema ni kauli. Huwa anatumia nguvu kubwa kujionesha ni mtu smart mwenye hofu ya Mungu ila tatizo akizungumza sana kuna time anachomeka kauli ambazo huwa controversial.
Ngoja tusubiri maana vita bado mbich
Ukimsikiliza Lema ukalinganisha na tweets zake, conclusion ni moja tu ya kuwa, hawakubali wanaharakati.Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katika ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
Sahihi kabisa.Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Nyie gombaneni tu. Mkija kushtuka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huo! Halafu mseme mnaonewa!Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katika ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
Hivi wale akina Oliver Tambo ambao waliishi ukimbizini kwa miaka mingi tu kipindi cha makaburu, wao walikuwa wanaitwaje? Maana hakukuwepo na huo msamiati wa keyboard warriors enzi hizo….Ukimsikiliza Lema ukalinganisha na tweets zake, conclusion ni moja tu ya kuwa, hawakubali wanaharakati.
Kuna kipindi aliwaita keyboard warriors
Ninachokihisi, Godbless Lema anayajua ya wanaharakati baadhi na wao wanajua ya kwake ndio maana wanaishia kubwekeana ila hawaumani.
Who cares na hayo maigizo ya uchaguzi. Si huwa mnajitangaza mmeshinda kwa asilimia 100.Nyie gombaneni tu. Mkija kushtuka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huo! Halafu mseme mnaonewa!
Lema ni moderate kuwa kwenye chama Cha wanaharakati wa msimamo mkali wanaotumika na Mabeberu ni upumbavu.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema amesema anasikitishwa na wanachama wa chama hicho kumwamini Mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amedai amekuwa akihamasisha maandamano watu wafe na hashiriki hata misiba ya hao waliofariki
Amehoji hilo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha huku akisisitiza kuwa ajenda za Mange kuwa Lema anataka kumpindua Heche sio za kweli zipuuzwe.
View attachment 3702662
Ni jambo jema kuwa hamna shida na Uchaguzi Mkuu. CCM tunataka tuendelee kutawala nchi miaka yote.Who cares na hayo maigizo ya uchaguzi. Si huwa mnajitangaza mmeshinda kwa asilimia 100.
Leo ndio umejua Mbowe ana akili? Kipindi kile unamtukana ni gaidi na matusi mengine kama hayo hukujua ana akili?. Yote kwa yote nampongeza na kumshukuru Lissu kwa kumstaafisha Mbowe siasa kwa lazima.Lema ni moderate kuwa kwenye chama Cha wanaharakati wa msimamo mkali wanaotumika na Mabeberu ni upumbavu.
Ndio maana wenye akili kina Mbowe na yule Fatuma Karume wameamua kukaa kimya.
Wajiandae kina Mnyika maana nao walishatajwa na Mange sema Mnyika hapendi majibizano na ma hopeless
Jamaa mjinga sana. Kwa hivyo anamlaumu Mange kwa mauaji yaliyofanywa na Samiah?. Kwa hivyo anamlaumu waliouawa na kuacha walioua. Angenyamaza tu.Yaani Lema anaitisha press kujibu tuhuma za Mange?!Jamaa ni mjinga vibaya. Halafu anasema Mange anaitisha maandamano watu wanakufa, anamaanisha waandamanaji hawana sababu ya kuandamana, ila Mange ndio anawashawishi. Upuuzi ule ule wa ccm, Lema ndio anatumia. Mbona Heche katuhumiwa hadi mapress ya kumchafua lakini hajawahi kuitisha press kujisafisha?