Lema: Mange anahamasisha Maandamano, watu wakifa haendi kuzika

Lema: Mange anahamasisha Maandamano, watu wakifa haendi kuzika

Hivi wale akina Oliver Tambo ambao waliishi ukimbizini kwa miaka mingi tu kipindi cha makaburu, wao walikuwa wanaitwaje? Maana hakukuwepo na huo msamiati wa keyboard warriors enzi hizo….

Baadhi yao waliishi hata Tanzania.
Kwa mwanasiasa mkubwa kama yeye kutumia hiyo point, inatia mashaka sana
 
Hii vita Lema amepoteza na atakuwa useless kabisa maana Mange atakuja na info za kupoteza credibility ya Lema Mazima tokea mfumoni ambako Lema ametumika pia
Ndugu Baro, simtetei Lema hapa, ila lazima tuseme ukweli. Mange hana tofauti yoyote na Kigogo2014; wote wawili ni mamamluki wa kisiasa wanaotumiwa kama silaha ya kukata pande zote mbili kulingana na maslahi ya wanaowalisha taarifa.
Tusidanganyike na dhana ya "mafile ya siri." Ukweli wa kiweledi ni huu: Mange akikosa mafile ya Serikali ya Samia, anapewa mafwamba ya kuwamaliza wapinzani. Huu ni mchezo wa kimkakati wa kuwagawa na kuwadhoofisha wapinzani, na inasikitisha kuona watu wepesi wa kuamini wanakuza huu ujinga mtandaoni.
Mwisho wa siku, Mange ni snowflake wa wazi—mtu anayejifanya kupigania uhuru wa maoni lakini ukim-challenge kwa hoja anakimbilia ku-block. Picha yake ya tabasamu tele na Rais Samia kule Marekani (USA) inathibitisha undumilakuwili wake. Mtu anayeogopa mijadala na anayeishi kwa kupewa 'mafwamba' ya msimu hana mamlaka ya kimaadili ya kupoteza credibility ya mtu yeyote yule.
 
Lema ni moderate kuwa kwenye chama Cha wanaharakati wa msimamo mkali wanaotumika na Mabeberu ni upumbavu.

Ndio maana wenye akili kina Mbowe na yule Fatuma Karume wameamua kukaa kimya.

Wajiandae kina Mnyika maana nao walishatajwa na Mange sema Mnyika hapendi majibizano na ma hopeless
Chadema kimeshakuwa chama cha wapumbavu wa vijijini halafu walivyokuwa wajinga kutokujua siasa za vyama, wanajiaminisha kabisa wanapiga hatua na watashinda halafu hapo hapo wamebaki kuombea watu vifo, yaani akili za kinyonge halafu zero brain
Nina uhakika 100% nitaishi mpaka uzeeni na kufa na hakuna siku chadema itashinda kitu hii nchi, hata kama CCM watakuja kutolewa, lakini sio na hawa wapumbavu wa chadema
 
Ndugu Baro, simtetei Lema hapa, ila lazima tuseme ukweli. Mange hana tofauti yoyote na Kigogo2014; wote wawili ni mamamluki wa kisiasa wanaotumiwa kama silaha ya kukata pande zote mbili kulingana na maslahi ya wanaowalisha taarifa.
Tusidanganyike na dhana ya "mafile ya siri." Ukweli wa kiweledi ni huu: Mange akikosa mafile ya Serikali ya Samia, anapewa mafwamba ya kuwamaliza wapinzani. Huu ni mchezo wa kimkakati wa kuwagawa na kuwadhoofisha wapinzani, na inasikitisha kuona watu wepesi wa kuamini wanakuza huu ujinga mtandaoni.
Mwisho wa siku, Mange ni snowflake wa wazi—mtu anayejifanya kupigania uhuru wa maoni lakini ukim-challenge kwa hoja anakimbilia ku-block. Picha yake ya tabasamu tele na Rais Samia kule Marekani (USA) inathibitisha undumilakuwili wake. Mtu anayeogopa mijadala na anayeishi kwa kupewa 'mafwamba' ya msimu hana mamlaka ya kimaadili ya kupoteza credibility ya mtu yeyote yule.
Ukiona hivyo fahamu Kuna makundi 2 au mengi ndani ya mfumo hata kigogo2014 alikuwa kundi ambalo halimtaki JPM na hili kundi likakubalika kwa Wananchi the same kwa Mangi yupo kundi ambalo halimtaki Samia na Kwa sababu ya Taarifa zao kundi Hilo linakubalika kwa Wananchi

Lema kwa Sasa ni sawa tu wale Wanasiasa kama kina Lipumba ,
 
Ndugu Baro, simtetei Lema hapa, ila lazima tuseme ukweli. Mange hana tofauti yoyote na Kigogo2014; wote wawili ni mamamluki wa kisiasa wanaotumiwa kama silaha ya kukata pande zote mbili kulingana na maslahi ya wanaowalisha taarifa.
Tusidanganyike na dhana ya "mafile ya siri." Ukweli wa kiweledi ni huu: Mange akikosa mafile ya Serikali ya Samia, anapewa mafwamba ya kuwamaliza wapinzani. Huu ni mchezo wa kimkakati wa kuwagawa na kuwadhoofisha wapinzani, na inasikitisha kuona watu wepesi wa kuamini wanakuza huu ujinga mtandaoni.
Mwisho wa siku, Mange ni snowflake wa wazi—mtu anayejifanya kupigania uhuru wa maoni lakini ukim-challenge kwa hoja anakimbilia ku-block. Picha yake ya tabasamu tele na Rais Samia kule Marekani (USA) inathibitisha undumilakuwili wake. Mtu anayeogopa mijadala na anayeishi kwa kupewa 'mafwamba' ya msimu hana mamlaka ya kimaadili ya kupoteza credibility ya mtu yeyote yule.
Wewe ni wachache wa chadema mlio na akili lakini kwa bahati mbaya chama chenu kimetekwa wajinga
 
Mimi siyo Mwanachadema sina kadi ya chama chchote ila ujinga nautaji ujinga hata kama kaufanya CHADEMA ama CCM.
subiri ule matusi kutoka kwa hao wanaharakati uchwara wa chadema, wao wanavyojua siasa ni kuwa upande wao tu na hurusiwi kuwakosoa
 
Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.

Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.

Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.

Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.

Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.

Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.

Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.

Lema boya kabisa huyu jamaa.

Kwa nini anawahalalisha wauaji?

Kuhamasisha maandamano ya Amani yenye kufuata taratibu zote sio kosa.

Kuhamasisha kuzuia uchaguzi, kufanya mapinduzi na kudhuru watu wenye uelekeo tofauti kisiasa hilo ndio kosa.
Kuhamasisha jeshi kufanya mapinduzi na vyombo vingine vya usalama kuasi hili bila shaka nalo ni kosa tena kubwa sana.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
 
Ukimsikiliza Lema ukalinganisha na tweets zake, conclusion ni moja tu ya kuwa, hawakubali wanaharakati.

Kuna kipindi aliwaita keyboard warriors

Ninachokihisi, Godbless Lema anayajua ya wanaharakati baadhi na wao wanajua ya kwake ndio maana wanaishia kubwekeana ila hawaumani.
"Ninachokihisi, Godbless Lema anayajua ya wanaharakati baadhi na wao wanajua ya kwake ndio maana wanaishia kubwekeana ila hawaumani."

Je Lema anaiweza vita ya dada wa taifa?
 
JE,SHERIA INASEMA UKITAKA KUANDAMANA INGIA TU MTAANI UFANYE MAANDAMANO NA VURUGU. Kwanini tunakwepa kufuata taratibu?
Huwezi kufanya maandamano just from the blue lazima kuwepo na justification. Kama October 29 kulikuwa na justification
 
Yaani Lema anaitisha press kujibu tuhuma za Mange?!Jamaa ni mjinga vibaya. Halafu anasema Mange anaitisha maandamano watu wanakufa, anamaanisha waandamanaji hawana sababu ya kuandamana, ila Mange ndio anawashawishi. Upuuzi ule ule wa ccm, Lema ndio anatumia. Mbona Heche katuhumiwa hadi mapress ya kumchafua lakini hajawahi kuitisha press kujisafisha?
Ninachojiuliza anaiweza vita na dada wa taifa?
 
Poleni team Mange!
Mange kawaqminisha eti Mbowe atapewa Uenyekiti akitolewa Heche na nyie mkademka tu. Hamjui ht katiba ya chama
Nani alidemka? Mbowe alishastafishwa siasa na Mwamba Lissu kwa lazima. Tena hadharani Kila mtu alishahudia.
 
Ukimsikiliza Lema ukalinganisha na tweets zake, conclusion ni moja tu ya kuwa, hawakubali wanaharakati.

Kuna kipindi aliwaita keyboard warriors

Ninachokihisi, Godbless Lema anayajua ya wanaharakati baadhi na wao wanajua ya kwake ndio maana wanaishia kubwekeana ila hawaumani.
You're right, ukitazama vizuri hata viongozi wake wajuu kuna namna huwa anawakataa wakileta issue za uanaharakati, Lema ni type za kina Mbowe, simply ni wanasiasa.
 
Ujinga gani huu anaongea, ila sasa hivi nishaanza kuona kumbe Lema ni kama Makonda tu tofauti tu ni kwamba yeye hana matakor makubwa..
 
Back
Top Bottom