The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mnaliwa mihela yenu huko na janjajanja lema na Mbowe😆😆😆😀 😀Siasa ni utapeli
Mnaliwa mihela yenu huko na janjajanja lema na Mbowe😆😆😆😀 😀Siasa ni utapeli
Dogo my take umeshawahi sana tu. Leo unaona aibu.Sijawahi na Huwa sifanyi mambo ambayo Sina uhakika Wala ushahidi nayo.
Nilikwambia leta hapa comment yangu ikimtukana utaileta?
Wewe ni mkongwe kwenye ili jukwaa lakini pia na uelewa kama ninavyokujua kwa humu tu. Sioni ni faida gani tunapata kwa kupotosha umma na kuleta matatizo. Je,ili ufanye maandamano nchini Tanzania hakuna utaratibu wa kufuata?Of course kuna taratibu.
Na moja ya taratibu zake ni kuua watoto kwa kuwapiga risasi za kichwa.
Justification unatengeneza wewe au inabidi ufuate utaratibu mkuu? Naimbie kwamba watu wachome vituo vya kupigia kura,magari,mwendokasi,vituo vya polisi nk alafu majeshi yafanye kazi gani? Inabidi wakati mwingine tue wakweli kuhusu makosa yetu.Huwezi kufanya maandamano just from the blue lazima kuwepo na justification. Kama October 29 kulikuwa na justification
Kutekwa ni jinai na inabidi lisitokee. Je,ili lisitokee nasisi CHADEMA inabidi tuchome vituo vya polisi,tuchukue bunduki,tuibe,tuchome mwendokasi na ofisi zetu za umma au nyuma za waliopo madarakani?Je Katiba inaruhusu watu kutekwa?
Ile siku anagoma kumpa mkono Makonda kwenye msiba wa Lowassa kisha Mbowe akampa Makonda, alikuwa mwanasiasa ama mwanaharakati? Au unataka kumpamba maana kaanza kuanikwa udalali wake?You're right, ukitazama vizuri hata viongozi wake wajuu kuna namna huwa anawakataa wakileta issue za uanaharakati, Lema ni type za kina Mbowe, simply ni wanasiasa.
Chadomo nyie ni wapumbavu sana ndio maana Lema amesema wekeni ushahidi mnajamba tuu.Dogo my take umeshawahi sana tu. Leo unaona aibu.
Nyau wewee
Utekaji unapofanywa na serekali hiyo ndio njia serekali inaweza kusikia. Kwani ni mara ngapi wameonywa na wala hawakuacha?Kutekwa ni jinai na inabidi lisitokee. Je,ili lisitokee nasisi CHADEMA inabidi tuchome vituo vya polisi,tuchukue bunduki,tuibe,tuchome mwendokasi na ofisi zetu za umma au nyuma za waliopo madarakani?
That was too personal.Ile siku anagoma kumpa mkono Makonda kwenye msiba wa Lowassa kisha Mbowe akampa Makonda, alikuwa mwanasiasa ama mwanaharakati? Au unataka kumpamba maana kaanza kuanikwa udalali wake?
Kaamua kusema ukweli, ipo siku mtaelewa kwamba mlichofanya na mnachofanya ni hovyo sana na hamuwezi kufanya huko mliko kwa sababu mtakuwa deportedLema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
Nimeshakuambia kuwa moja ya taratibu zake ni kuua watoto kama hawa!Wewe ni mkongwe kwenye ili jukwaa lakini pia na uelewa kama ninavyokujua kwa humu tu. Sioni ni faida gani tunapata kwa kupotosha umma na kuleta matatizo. Je,ili ufanye maandamano nchini Tanzania hakuna utaratibu wa kufuata?
Kitu gani tunachofanya kilicho cha hovyo?Kaamua kusema ukweli, ipo siku mtaelewa kwamba mlichofanya na mnachofanya ni hovyo sana na hamuwezi kufanya huko mliko kwa sababu mtakuwa deported
Tumezika picha- Solo thangMjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema amesema anasikitishwa na wanachama wa chama hicho kumwamini Mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amedai amekuwa akihamasisha maandamano watu wafe na hashiriki hata misiba ya hao waliofariki
Amehoji hilo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha huku akisisitiza kuwa ajenda za Mange kuwa Lema anataka kumpindua Heche sio za kweli zipuuzwe.
View attachment 3702662
Yote haya mlisababisha nyie ILA sasa mnajificha nyuma ya picha. Watoto wa watu mliwaingiza kwenye taflani mpaka wasihusika na ujinga huo wakapatwa na majanga. UKWELI NI KUA CHADEMA tupigwe ata marufuku kufanya siasa maana atutaki kuheshimu taratibu za nchi kila kitu tunataka kutumia nguvu na kinyume cha sheria. DAMU YA WATOTO ITAWALILIA MPAKA MWISHO NYIE WAPENDA FUJO.Nimeshakuambia kuwa moja ya taratibu zake ni kuua watoto kama hawa!
View attachment 3702810View attachment 3702811View attachment 3702812
Wa October hawakuandamanaLema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
Si kweli kua abduction zote ni serikali wanahusika.. Dr.Slaa aliwai kutuambia ilo. Lakini pis,ebu tuchukue mfano kua ambao awakuridhika na uchaguzi ndani ya CHADEMA wafanye vurugu,wapige washindi na washirki unafikiri ingekuaje? TUSIJENGE TAIFA LENYE FIKRA ZA KUUMIZANA KWENYE TAIFA LETUUtekaji unapofanywa na serekali hiyo ndio njia serekali inaweza kusikia. Kwani ni mara ngapi wameonywa na wala hawakuacha?
Huu ukweli makamanda wenzangu awataki kuusikia wala kuona wala kukubali.Wa October hawakuandamana
Walifanya vurugu
Ni wapi nimesema utekaji wote unafanywa na serekali. Kwanza usitake kuonyesha ambao hawaridhishwi na uchaguzi wanaumiza wengine, maana kama ni chaguzi kunajasiwa imekuwa ni kawaida, na hakuna lolote watu wanafanya zaidi ya kupata huzuni. Na ccm kwa kujua hilo ndio maana wakawa wanapora chaguzi watakavyo. Lakini uchaguzi wa juzi watu wakachora mstari.Si kweli kua abduction zote ni serikali wanahusika.. Dr.Slaa aliwai kutuambia ilo. Lakini pis,ebu tuchukue mfano kua ambao awakuridhika na uchaguzi ndani ya CHADEMA wafanye vurugu,wapige washindi na washirki unafikiri ingekuaje? TUSIJENGE TAIFA LENYE FIKRA ZA KUUMIZANA KWENYE TAIFA LETU
Mwizi wa magari ni debe tupu, ni wa kumpuuza, tayari anatumika kama kondomu.Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?