Ni wapi nimesema utekaji wote unafanywa na serekali. Kwanza usitake kuonyesha ambao hawaridhishwi na uchaguzi wanaumiza wengine, maana kama ni chaguzi kunajasiwa imekuwa ni kawaida, na hakuna lolote watu wanafanya zaidi ya kupata huzuni. Na ccm kwa kujua hilo ndio maana wakawa wanapora chaguzi watakavyo. Lakini uchaguzi wa juzi watu wakachora mstari.
Ili kuficha ukweli wa chaguzi kunajisiwa, ndio mnaokoteza sijui watu kuumizwa, lakini wizi ule ulikuwa mkubwa kuliko vitendo kidogo vya watu kuonyesha hasira zao. Ama umeshajenga tabia ya kuishi na chaguzi za wizi, kiasi kwamba watu wakichukua hatua unashangaa kama taifa kwani wizi mmegeuza ndio tabia?