Lema: Mange anahamasisha Maandamano, watu wakifa haendi kuzika

Hii vita Lema amepoteza na atakuwa useless kabisa maana Mange atakuja na info za kupoteza credibility ya Lema Mazima tokea mfumoni ambako Lema ametumika pia
Mange hajawahi kumuweza mtu anayejiamini. Lema ameprove anajiaminj. Sio rahisi kufanya press conference wakati huu huku akijua madhara.

Na ukiangalia mtandaoni maoni ya watu yako divided. Sio rahisi kumconfront Mange na ukabaki salama. Maana yake ni kuwa Lema hajapuyanga. Kuna namna amezichanga vizuri sana karata zake.

Na kumbuka hapa ni kuwa, bila uwepo wa Lissu mtaani wanaharakati wanaanza kuwa wakubwa kuliko chama, Lema anakisaidia Chama kutengeneza identity yake
 
Haya nenda ukaphirwe na Abduli. Akimaliza mpelekee na Ndejembi naye akufiire.

Eff outta here you stupid idiot “ponk”.

Go suck some dick somewhere.
Msengge sana wewe

Hilo pochi lako huko nyuma lisikupe fake rights za kudharau watu

Mbwa weee
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema amesema anasikitishwa na wanachama wa chama hicho kumwamini Mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amedai amekuwa akihamasisha maandamano watu wafe na hashiriki hata misiba ya hao waliofariki

Amehoji hilo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha huku akisisitiza kuwa ajenda za Mange kuwa Lema anataka kumpindua Heche sio za kweli zipuuzwe.

View attachment 3702662
One thing Lema hajajua ni hiki" wafuasi wa chadema ndio followers wa Mange hivyo wabaya wa chadema wanajua tukimtumia Mange wafuasi wa chadema watavugwa na hivyo watashindwa wawe upande upi na hivyo watakuwa wameipunguza nguvu Chadema na Mange pia atakuwa amepoteza mvuto kwa wanachama watiifi wa chadema" ukiwa vitani usisikilize miruzi ya pembeni stay focused.
 
Uchaguzi uliibiwa kiaje? Mfano sisi CHADEMA atukushiriki kwenye nafasi ya udiwani,ubunge na urais..sasa tuliibiwa wapi? Okay,tulifanya vurugu ili kuharibu uchaguzi,je leo hii nchi inaongozwa na serikali ya chama kipi? KARIBU KAMANDA INGAWA TANGU MWANZO NILIPINGA HIYO NJIA LISSU ALIOTUAMBIA TUTUMIE
Kwa taarifa yako, mke wangu alisimamia kituo fulani cha kura chenye wapiga kura 485 tena kwa idadi ya waliojiandikisha 2015, na wapiga kura walijitokeza siku hiyo ni 42 tu. Cha ajabu karatasi ya matokeo Samia alikuwa na kura 456, na mbunge na diwani nao walijaziwa wapiga kura zaidi ya 400. Huo ni uchafu uliofanyika nchi nzima, na ushahidi upo. Kuongoza nchi ni kuchaguliwa kwa kura? Rais wa Burkina Faso anaongoza nchi yake, alishinda kwa kura ngapi?
 
Kwahiyo mke wako ulimpa ruhusa ashiriki wizi au ulitaka aende akautane na vurugu.
Okay, kumbe mipango ya Lissu alitaka CHADEMA tushinikize jeshi lichukue nchi kinyume na sheria za nchi? Kwa taarifa yako,askari wa JWTZ akishiriki mapinduzi haramu basi askari huyo anastahili kunyongwa mpaka kufa kulinagana na sheria za kijeshi lakini pia sheria za nchi yetu. MUNGU NI MWEMA NCHI YETU KWASASA HIPO SALAMA ZAIDI YA JANA
 
Si tulikubaliana Kaskazini hatoki fala?

Wale ambao hawajamuelewa ndiyo wana matatizo ghorofani bila shaka.😀

BTW:Leo Mangi haoni sababu ya kuandamana nchi hii na pia ni halali kabisa waandamanaji kuuawa.
 
Hayo unayoyafanya na kuyahamasisha kwa watanzania? Huko unaishi kwa adabu na unafuata sheria ila unahamasisha wasiwe na adabu kwa serikali na wasitii viongozi kama wewe unavyowatii huko uliko.
You are so dumb!

Huku watu tunaandamana na hatuuliwi.

Mbwa wewe.
 
One thing Lema hajajua ni hiki" wafuasi wa chadema ndio followers wa Mange hivyo wabaya wa chadema wanajua tukimtumia Mange wafuasi wa chadema watavugwa na hivyo watashindwa wawe upande upi na hivyo watakuwa wameipunguza nguvu Chadema na Mange pia atakuwa amepoteza mvuto kwa wanachama watiifi wa chadema" ukiwa vitani usisikilize miruzi ya pembeni stay focused.
Msisahau mange ni mwanaCCM
 
You are so dumb!

Huku watu tunaandamana na hatuuliwi.

Mbwa wewe.
Huko huna jeuri ya iufanya lolote tako wewe

You are being killed everyday na hamfanyi chochote

Last year alone polisi USA wameua raia zaidi ya 1,300
 
Mange hajawahi kumuweza mtu anayejiamini. Lema ameprove anajiaminj. Sio rahisi kufanya press conference wakati huu huku akijua madhara.

Na ukiangalia mtandaoni maoni ya watu yako divided. Sio rahisi kumconfront Mange na ukabaki salama. Maana yake ni kuwa Lema hajapuyanga. Kuna namna amezichanga vizuri sana karata zake.

Na kumbuka hapa ni kuwa, bila uwepo wa Lissu mtaani wanaharakati wanaanza kuwa wakubwa kuliko chama, Lema anakisaidia Chama kutengeneza identity yake
Sijajua analysis umeifanyaje kugawanyika ni kawaida ila tunaangalia mzani

Lema kazidiwa na amekuwa branded rasmi kama MSALITI/DALALI hatoaminika kabisa hata na wenzake kwenye CC tuko hapa

Lema ameshapoteza
 
He calculated the risks and he must live with the consequences

But he was brutally honest of the cdm current situation

Huwezi kutwaa dola kWa kuwa mwanaharakati
 
Kwahiyo mke wako ulimpa ruhusa ashiriki wizi au ulitaka aende akautane na vurugu.
Okay, kumbe mipango ya Lissu alitaka CHADEMA tushinikize jeshi lichukue nchi kinyume na sheria za nchi? Kwa taarifa yako,askari wa JWTZ akishiriki mapinduzi haramu basi askari huyo anastahili kunyongwa mpaka kufa kulinagana na sheria za kijeshi lakini pia sheria za nchi yetu. MUNGU NI MWEMA NCHI YETU KWASASA HIPO SALAMA ZAIDI YA JANA
Mke wangu ni mtu mzima, nampa ruhusa vipi? Nimekupa ukweli wa uchafu uliofanyika kwenye uchaguzi na ushahidi upo. Ni wapi Lisu aliwahi kutaka jeshi lishiriki siasa ama kuchukua madaraka? Kama hujui madai ya Lisu/cdm sema nikutajie, sio kuongea chochote ukidhani utapeteza ukweli wa kilichotokea. Sielewi umeingizaje suala la JWTZ kwenye nilichozungumza. Hakuna waoga wala wajinga wa kudumu. Kizazi kimebadilika kubalini zama za ccm zimefikia mwisho, vinginenevyo mauaji ili mtawale kwa shuruti yatawaacha na mwisho mbaya sana.
 
Kwa taarifa yako, mke wangu alisimamia kituo fulani cha kura chenye wapiga kura 485 tena kwa idadi ya waliojiandikisha 2015, na wapiga kura walijitokeza siku hiyo ni 42 tu. Cha ajabu karatasi ya matokeo Samia alikuwa na kura 456, na mbunge na diwani nao walijaziwa wapiga kura zaidi ya 400. Huo ni uchafu uliofanyika nchi nzima, na ushahidi upo. Kuongoza nchi ni kuchaguliwa kwa kura? Rais wa Burkina Faso anaongoza nchi yake, alishinda kwa kura ngapi?
Bukına walipiga kura?
 
Bukına walipiga kura?
Tanzania zingepigwa Samia asingetangazwa kwa kura 31m, maana hakukuwa na hao wapiga kura vituoni. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
As much as you are.
Huwezi andamana huko kwa sababu makaratasi yako ni mepesi na utarudishwa bure.
😂😂😂 hoja zimeisha. Pole
Amasisha vurugu huko USA uone?
Dude….hata kuandika vizuri huwezi.

Kwa taarifa yako, sijawahi kuwa na tatizo la makaratasi.

Usijipe faraja ya uongo.
 
Back
Top Bottom