Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Mbona tuliandamana Mwanza,Iringa na Dodoma tukiongozwa na Mh.Mbowe kudai katiba mpya mkuu mkwaka 2024.Ni lini na wapi Serikali ya Tanzania iliruhusu au kutoa kibari kwa maandamano hata ya amani?
Polisi huwa wanazuia maandamano kwakigezo cha intelejensia.