Taratibu zipi nawe em kwenda huko..!!JE,SHERIA INASEMA UKITAKA KUANDAMANA INGIA TU MTAANI UFANYE MAANDAMANO NA VURUGU. Kwanini tunakwepa kufuata taratibu?
Uraia wowote wa makaratasi una matatizo. Huoni mwenzako pamoja na umaarufu wote lakini anatafutiwa angle aliwe kichwa? Wewe ni mhamiaji na utabaki kuwa muhamiaji tu.Dude….hata kuandika vizuri huwezi.
Kwa taarifa yako, sijawahi kuwa na tatizo la makaratasi.
Usijipe faraja ya uongo.
Wewe hujui unaloliongelea hapa. Unanipotezea muda wangu.Uraia wowote wa makaratasi una matatizo. Huoni mwenzako pamoja na umaarufu wote lakini anatafutiwa angle aliwe kichwa? Wewe ni mhamiaji na utabaki kuwa muhamiaji tu.
Ndo maana huwezi fanya ujinga huko unajua kitakachokutokea.
Arudi Canada tu.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema amesema anasikitishwa na wanachama wa chama hicho kumwamini Mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amedai amekuwa akihamasisha maandamano watu wafe na hashiriki hata misiba ya hao waliofariki
Amehoji hilo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha huku akisisitiza kuwa ajenda za Mange kuwa Lema anataka kumpindua Heche sio za kweli zipuuzwe.
View attachment 3702662
Utakua mgeni nchini humuTaratibu zipi nawe em kwenda huko..!!
Lini polisi walikubali wananchi waandamane?
MythMke wangu ni mtu mzima, nampa ruhusa vipi? Nimekupa ukweli wa uchafu uliofanyika kwenye uchaguzi na ushahidi upo. Ni wapi Lisu aliwahi kutaka jeshi lishiriki siasa ama kuchukua madaraka? Kama hujui madai ya Lisu/cdm sema nikutajie, sio kuongea chochote ukidhani utapeteza ukweli wa kilichotokea. Sielewi umeingizaje suala la JWTZ kwenye nilichozungumza. Hakuna waoga wala wajinga wa kudumu. Kizazi kimebadilika kubalini zama za ccm zimefikia mwisho, vinginenevyo mauaji ili mtawale kwa shuruti yatawaacha na mwisho mbaya sana.
Lkn Bwana Lema anamalaumu Mange kua kawahamasisha watu wakaandamana na wakaenda kuuliwa,wauaji Kwa lema hawana kosa.Mange hana lawama zozote dhidi yake kwa mauaji yaliyotokea.
Lawama zinawaendea wauaji.
😂😂😂😂Njaa ya Lema imetoka Tumboni imeenda Kichwani.
Achana na Mange kiongoziMange hana lawama zozote dhidi yake kwa mauaji yaliyotokea.
Lawama zinawaendea wauaji.
Kwa sababu umeelewa nilichoongea, wewe mzamiaji utabaki kuwa mzamiaji tu. Kwa hiyo kama ambavyo huko ulikozamia huwezi kuhamasisha fujo na usihamasishe fujo kwa watanzania pia. Kuwa na adabu kama unayoiniesha huko uliko.Wewe hujui unaloliongelea hapa. Unanipotezea muda wangu.
I’m done with your ass.
Ni lini na wapi Serikali ya Tanzania iliruhusu au kutoa kibari kwa maandamano hata ya amani?Wewe ni mkongwe kwenye ili jukwaa lakini pia na uelewa kama ninavyokujua kwa humu tu. Sioni ni faida gani tunapata kwa kupotosha umma na kuleta matatizo. Je,ili ufanye maandamano nchini Tanzania hakuna utaratibu wa kufuata?
Sio kweli,Sijajua analysis umeifanyaje kugawanyika ni kawaida ila tunaangalia mzani
Lema kazidiwa na amekuwa branded rasmi kama MSALITI/DALALI hatoaminika kabisa hata na wenzake kwenye CC tuko hapa
Lema ameshapoteza