Lema: Mange anahamasisha Maandamano, watu wakifa haendi kuzika

Ni lini na wapi Serikali ya Tanzania iliruhusu au kutoa kibari kwa maandamano hata ya amani?
Polisi huwa wanazuia maandamano kwakigezo cha intelejensia.
Mbona tuliandamana Mwanza,Iringa na Dodoma tukiongozwa na Mh.Mbowe kudai katiba mpya mkuu mkwaka 2024.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…