DC wa Kinondoni amesema Halima Mdee amemtukana Rais, sasa hebu tuangalie kwenye kamusi ya kiswahili na tuone tafsiri ya neno HOVYO kama je ni tusi?Mdee ametumia maneno ya dhihaka dhidi ya Rais.
Ametumia maneno haya ' Rais wa hovyo anafanya maamuzi ya hovyo'
mikutano ya kisiasa kwenye jimbo lako haijazuiliwa...Mkuu kuzuia mikutano ya siasa ni sheria namba ngapi ?
Umekuwa mahakama?DC wa Kinondoni amesema Halima Mdee amemtukana Rais, sasa hebu tuangalie kwenye kamusi ya kiswahili na tuone tafsiri ya neno hivyo kama je ni tusi?
Muulize LIZABONI au RUTASHOBOLWASizonje ni nani?
Kweli wewe ni Jingalao huko Lumumba ! Wabunge wote waliopata shida na wengine kufikishwa jela wamepata shida Hizo wapi?! Si majimboni mwao?! Akiwa jimboni anakumbana na kibaraka moja mteuliwa (DC) kila hata akizindua barabara kwao ni machukizo. Wanasahau kuwa huyo ndiyo kachaguliwa na wananchi wa eneo husika na siyo DC wala RCmikutano ya kisiasa kwenye jimbo lako haijazuiliwa...
Kama ni neno la kawaida tu.....ukirudi nyumbani then ikamwambie maneno hayo Mzazi wako!! Then utuletee majibu hapa!!DC wa Kinondoni amesema Halima Mdee amemtukana Rais, sasa hebu tuangalie kwenye kamusi ya kiswahili na tuone tafsiri ya neno HOVYO kama je ni tusi?
Wakiona watasema!!Muulize LIZABONI au RUTASHOBOLWA
Theoretically mikutano hiyo inadaiwa kuwa imeruhusiwa lakini practically ni kuwa serikali ya CCM ya awamu ya 5 imeipiga STOP.mikutano ya kisiasa kwenye jimbo lako haijazuiliwa...
Ni hivi CCM na serikali yake haiwezi kuhangaika na vyama visivyo tishio kwao.Hilo swali tujiulize mimi na wewe
Nimekuelewa mkuu hivyo suala sio upinzani bali ni cdm auNi hivi CCM na serikali yake haiwezi kuhangaika na vyama visivyo tishio kwao.
Zanzibar CCM na serikali wanahangaika na CUF na huku bara wanahangaika na CDM kwa sababu ndiyo yenye kutishia maslahi yao (wananchi)
Hivi kama mzazi wako anafanya mambo ya hovyohovyo kama vile kunywa pombe kwa kupitiliza na kufanya ufuska mtaani, ina maana kwa maoni yako watoto wa mzazi wa design hiyo hawapaswi kumwita mzazi wao kuwa ni wa HOVYO?Kama ni neno la kawaida tu.....ukirudi nyumbani then ikamwambie maneno hayo Mzazi wako!! Then utuletee majibu hapa!!
Sijasikia Mbowe akikatazwa kuhutubia wananchi wake wa Hai..Theoretically mikutano hiyo inadaiwa kuwa imeruhusiwa lakini practically ni kuwa serikali ya CCM ya awamu ya 5 imeipiga STOP.
Ametoa jibu zuri, ndiyo maana unapata tafsiri ya Mkulu kuwa alijiapiza kuwa ndani ya serikali yake hatathubutu kumteua mtu yeyote kutoka vyama vya upinzani.......Nimekuelewa mkuu hivyo suala sio upinzani bali ni cdm au
Ila mmemuharibia mashamba yake.......Sijasikia Mbowe akikatazwa kuhutubia wananchi wake wa Hai..
Gud get youAmetoa jibu zuri, ndiyo maana unapata tafsiri ya Mkulu kuwa alijiapiza kuwa ndani ya serikali yake hatathubutu kumteua mtu yeyote kutoka vyama vya upinzani.......
Lakini tukishuhudia akimpa yule mama wa ACT kuwa RC wa Kilimanjaro na huyo Profesa mwingine wa chama hicho hicho cha ACT akimpa ukatibu mkuu wizara ya Maji.
Tafsiri yake ni kuwa vyama vya upinzani vinavyotambulika hapa nchini na watawala ni CDM na CUF na hivyo vingine ni kama vile ni CCM - B na ndiyo sababu serikali hii ya awamu ya 5 inafanya juhudi kubwa kutaka kuwaangamiza Chadema na CUF.
Kwenu unaweza kumuuita tuHivi kama mzazi wako anafanya mambo ya hovyohovyo kama vile kunywa pombe kwa kupitiliza na kufanya ufuska mtaani, ina maana kwa maoni yako watoto wa mzazi wa design hiyo hawapaswi kumwita mzazi wao kuwa ni wa HOVYO?
Wameambiwa wafanye mikutano ya siasa ndani ya maeneo wanayowakilishaMkuu kuzuia mikutano ya siasa ni sheria namba ngapi ?
Upinzani utajiua wenyewe ,au utajijenga wenyeweCCM Ina fight kuua upinzani