Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

Mdee ametumia maneno ya dhihaka dhidi ya Rais.

Ametumia maneno haya ' Rais wa hovyo anafanya maamuzi ya hovyo'
DC wa Kinondoni amesema Halima Mdee amemtukana Rais, sasa hebu tuangalie kwenye kamusi ya kiswahili na tuone tafsiri ya neno HOVYO kama je ni tusi?
 
mikutano ya kisiasa kwenye jimbo lako haijazuiliwa...
Kweli wewe ni Jingalao huko Lumumba ! Wabunge wote waliopata shida na wengine kufikishwa jela wamepata shida Hizo wapi?! Si majimboni mwao?! Akiwa jimboni anakumbana na kibaraka moja mteuliwa (DC) kila hata akizindua barabara kwao ni machukizo. Wanasahau kuwa huyo ndiyo kachaguliwa na wananchi wa eneo husika na siyo DC wala RC
 
DC wa Kinondoni amesema Halima Mdee amemtukana Rais, sasa hebu tuangalie kwenye kamusi ya kiswahili na tuone tafsiri ya neno HOVYO kama je ni tusi?
Kama ni neno la kawaida tu.....ukirudi nyumbani then ikamwambie maneno hayo Mzazi wako!! Then utuletee majibu hapa!!
 
mikutano ya kisiasa kwenye jimbo lako haijazuiliwa...
Theoretically mikutano hiyo inadaiwa kuwa imeruhusiwa lakini practically ni kuwa serikali ya CCM ya awamu ya 5 imeipiga STOP.
 
Hilo swali tujiulize mimi na wewe
Ni hivi CCM na serikali yake haiwezi kuhangaika na vyama visivyo tishio kwao.
Zanzibar CCM na serikali wanahangaika na CUF na huku bara wanahangaika na CDM kwa sababu ndiyo yenye kutishia maslahi yao (wananchi)
 
Tatizo watanzania wengi hawajielewi, pamoja na matatizo yote haya yanayosababishwa na serikali ya ccm bado huendelea kuichagua! Siku bunge letu likiwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani ndio itakuwa mwisho wa maringo na majivuno ya watawala wa ccm! Hawa wachache kina Esta na Halima wanawapanikisha kina Job kiasi hiki, wangekuwa wengi hakika tungeheshimiana! Wameshatuona wa tz mazoba!

Eti wanasema mataifa mengine ikiwemo na Kenya wanamuomba Baba J akawe rais wao! Huyo hapo Kenya hawezi kuongoza hata kwa wiki 2, wakenya wanajiamini, sio waoga, sio wanafiki na wengi wao wameelimika vya kutosha! yeye hapendi kuongoza watu wa aina hiyo.
 
Ni hivi CCM na serikali yake haiwezi kuhangaika na vyama visivyo tishio kwao.
Zanzibar CCM na serikali wanahangaika na CUF na huku bara wanahangaika na CDM kwa sababu ndiyo yenye kutishia maslahi yao (wananchi)
Nimekuelewa mkuu hivyo suala sio upinzani bali ni cdm au
 
Kama ni neno la kawaida tu.....ukirudi nyumbani then ikamwambie maneno hayo Mzazi wako!! Then utuletee majibu hapa!!
Hivi kama mzazi wako anafanya mambo ya hovyohovyo kama vile kunywa pombe kwa kupitiliza na kufanya ufuska mtaani, ina maana kwa maoni yako watoto wa mzazi wa design hiyo hawapaswi kumwita mzazi wao kuwa ni wa HOVYO?
 
Theoretically mikutano hiyo inadaiwa kuwa imeruhusiwa lakini practically ni kuwa serikali ya CCM ya awamu ya 5 imeipiga STOP.
Sijasikia Mbowe akikatazwa kuhutubia wananchi wake wa Hai..
 
Nimekuelewa mkuu hivyo suala sio upinzani bali ni cdm au
Ametoa jibu zuri, ndiyo maana unapata tafsiri ya Mkulu kuwa alijiapiza kuwa ndani ya serikali yake hatathubutu kumteua mtu yeyote kutoka vyama vya upinzani.......

Lakini tukishuhudia akimpa yule mama wa ACT kuwa RC wa Kilimanjaro na huyo Profesa mwingine wa chama hicho hicho cha ACT akimpa ukatibu mkuu wizara ya Maji.

Tafsiri yake ni kuwa vyama vya upinzani vinavyotambulika hapa nchini na watawala ni CDM na CUF na hivyo vingine ni kama vile ni CCM - B na ndiyo sababu serikali hii ya awamu ya 5 inafanya juhudi kubwa kutaka kuwaangamiza Chadema na CUF.
 
Gud get you
 
Hivi kama mzazi wako anafanya mambo ya hovyohovyo kama vile kunywa pombe kwa kupitiliza na kufanya ufuska mtaani, ina maana kwa maoni yako watoto wa mzazi wa design hiyo hawapaswi kumwita mzazi wao kuwa ni wa HOVYO?
Kwenu unaweza kumuuita tu
 
Inshot ni kwamba Hatuna rais bali kuna lijitu tu limewekwa Ikulu ili kuvuruga kila kitu,cha kufanya ni kuvumilia tu huo muda wake uishe tujipange upya,aking'ang'ania madaraka kwa sababu ya kuogopa alowatenda ndo atatutambua
 
Back
Top Bottom