Hata yule mwenyejina linalofanana na Mashudu aliyekuwa mpinzani wa Nigeria aliposhinda uchaguzi alipelekwa gerezani akiwa hai baadae akarudishwa akiwa ndani ya sanduku,vyama tawala ni hatari tupu.Kupotea kwa watu si Ben tu wapo wengi wanaopotea kila siku nchini na duniani kwa ujumla
Hivi Mkuu kama hili la kuendesha shughuli za kisiasa hapa nchini, Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 3(1) inasema wazi kuwa nchi yetu itafuata mfumo wa vyama vingi na vyama hivyo vinapaswa viendeshe shughuli zao vikiwa huru, sasa inapotokea Rais aliyeko madarakani anasimama jukwaani na kusema kuwa anapiga marufuku shughuli zozote za kisiasa hadi mwaka 2020, ambapo anajua wazi kuwa kauli yake hiyo ni uvunjaji wa wazi wa Katiba yetu ya nchi ambayo aliapa kuilinda na kuitii.Kwenu unaweza kumuuita tu
Hivi kama mzazi wako anafanya mambo ya hovyohovyo kama vile kunywa pombe kwa kupitiliza na kufanya ufuska mtaani, ina maana kwa maoni yako watoto wa mzazi wa design hiyo hawapaswi kumwita mzazi wao kuwa ni wa HOVYO?
Na ndiyo maana huyo Bwana mkubwa ziara yake ya kwanza kabisa kwenda nje ya nchi baada ya kuapishwa, akaenda kwa huyo rafiki yake lli ampe mbinu za namna gani anaweza kufanikisha kuua upinzani hapa kwetu.Kagame stayle
Huyo Mama Hillary Clinton mbona sijamsikia akiendelea na Kampeni na matusi km Halima Mdee?It is true.
Lengo kubwa la CCM na hususani hii serikali ya awamu ya 5 ni kutaka kuua upinzani kwa mbinu zozote hata zile za haramu ili nchi hii irejee kwenye mfumo wa chama kimoja
Huyo Mama Hillary Clinton mbona sijamsikia akiendelea na Kampeni na matusi km Halima Mdee?
Kwanini CHADEMA wasitulie km Democrate party wamwache Rais aliyeshinda
huko USA Democrat walishinda zaidi ya kura milioni 2 lkn Trump aliongoza kwa majimbo mbona kuko kimya
msitake kuleta visiasa uchwara kuwa maisha yote ni siasa na kukaa vijiweni kusbir/QUOTE]
Ngoja nikuulize swali, hivi huko 'kwenu' Marekani wananchi wa huko hawamkosoi Rais wao Trump kwa madudu mengi anayoyafanya?
Mbona mara nyingi kupitia media mbalimbali tumekuwa tukishuhudia maandamano ya wamerekani tena wakibeba mabango wakimpinga waziwazi Trump. Mbona hatujashuhudia Polisi wa huko wayazime maandamano hayo kwa viringu na magari ya washawasha?
Sasa ni kwa nini hapa TZ, ikiwa Magu na CCM yake wanaamini kuwa Rais Magufuli anafanya kazi mzuri sana, ni kwanini asiwaache wapinzani wakajieleze kwa wapiga kura wao na wananchi ndiyo wawakatae?
Hizi dalili za serikali ya Magufuli kuwafhibiti wapinzani kwa kiwango hiki, kunaleta maswali mengi yanayokosa majibu, au pengine ni kweli kura zilikuwa hazikuhesabika vizuri kama alivyobainisha EL?
Guilty people are always afraid.......
Tatizo watanzania wengi hawajielewi, pamoja na matatizo yote haya yanayosababishwa na serikali ya ccm bado huendelea kuichagua! Siku bunge letu likiwa na idadi kubwa ya wabunge wa upinzani ndio itakuwa mwisho wa maringo na majivuno ya watawala wa ccm! Hawa wachache kina Esta na Halima wanawapanikisha kina Job kiasi hiki, wangekuwa wengi hakika tungeheshimiana! Wameshatuona wa tz mazoba!
Eti wanasema mataifa mengine ikiwemo na Kenya wanamuomba Baba J akawe rais wao! Huyo hapo Kenya hawezi kuongoza hata kwa wiki 2, wakenya wanajiamini, sio waoga, sio wanafiki na wengi wao wameelimika vya kutosha! yeye hapendi kuongoza watu wa aina hiyo.
Umemtaja Hilary Clinton wa huko 'kwenu' Marekani.Huyo Mama Hillary Clinton mbona sijamsikia akiendelea na Kampeni na matusi km Halima Mdee?
Kwanini CHADEMA wasitulie km Democrate party wamwache Rais aliyeshinda
huko USA Democrat walishinda zaidi ya kura milioni 2 lkn Trump aliongoza kwa majimbo mbona kuko kimya
msitake kuleta visiasa uchwara kuwa maisha yote ni siasa na kukaa vijiweni kusbiri kukosoa tu
Yeye ndio hafuati sheria mshaurini afute vyama vya upinzani ili aishi bila stress,upinzani kazi yke ni kukosoa ili ujisahishe pia siasa sio uhasama,chuki,visasi,ubabe anaofanya yeye.kila cku povu linamtoka na kuropoka tuMhaini kesi yake ni kifo au kifungo cha maisha Kuna mpinzani kapata adhabu kama hiyo?
Tufuate sheria,kanuni na taratibu tu hakuna shida
Na ndicho kinachowatokea Bulaya na Mdee nje ya bunge sasa hivi
Yaani tatizo linaloendelea nchini kwetu halitofautiani sana na ile hadithi ya yule Mfalme aliyekuwa mkali sana ambaye wananchi wake walikuwa wakiogopa kumwambia lolote.Yeye ndio hafuati sheria mshaurini afute vyama vya upinzani ili aishi bila stress,upinzani kazi yke ni kukosoa ili ujisahishe pia siasa sio uhasama,chuki,visasi,ubabe anaofanya yeye.kila cku povu linamtoka na kuropoka tu