Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia huko Canada!!! ni snitch!

Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia huko Canada!!! ni snitch!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa anaombea hilo ili apate sababu!

Wenje na Lema wote familia zao zipo Toronto Cananada toka wakati wa Magufuli hivyo hawa ni watu wanajuana!
 
Aliyeelewa uzi asaidie kuufafanua tafadhali.

NB: mi si mdau wa siasa mambo haya mageni kwangu. Wakati nasubiria maelezo narejea kilingeni MMU.

Alamsiki.

Samahani ni ngumu kunielewa kama wewe ni slow.

Wenje na Lema wote familia zao zipo Toronto Cananada toka wakati wa Magufuli hivyo hawa ni watu wanajuana!
 
Mwimwi natwamwani kururwudikwa humwu ila kisimwu chwangu hakwiandwikwi vizurwi kamwa enzwi zwa enzwi. nwaswomwa tu nywinyi wwote
wengwine kumbwe humwu 😂 😂 😂 mwengwi nwasomwa aiwisweee
Jumkwaa mwa simwasa inwanwipwitwa
kwebwodwi inwakwataa kwupwitiaw vpn

mdwau mbwurudikwaa
 
Madam unakunywa chubuku nin?
 
Ni kawaida CHADEMA kumchafua mtu akihama chama. Huyo Lema mwenyewe ni snitch kwa kuikimbiza familia yake Canada huku akichochea familia zingine zikapambane na polisi kupitia maandamano haramu. Viongozi wote wa hizi harakati haramu wamehakikisha kwanza familia zao hazipo nchini.
 
Aliyeelewa uzi asaidie kuufafanua tafadhali.

NB: mi si mdau wa siasa mambo haya mageni kwangu. Wakati nasubiria maelezo narejea kilingeni MMU.

Alamsiki.
Kasimu,tuendelee kula monde tu tukisubiri ufafanuzi,
Hata mi sielewi
 
Chadema kuwa chini ya Tundu Lissu na John Heche itatusaidia sana kuwafahamu mamluki woye walio tuchelewesha kwenye mapambano ya kweli dhidi ya ccm.

Mamluki wote waendelee kuondoka ili chama kibakiwe na wapambanaji wa kweli tu.
 
Soma uzi wako kwa kurudia, hakuna cha u slow hapo

Dogo slow huwezi kunielewa "Platinum Member" toka 2006! nenda kasome machawa utawaelewa zaidi!. Hata Toronto inawezekana hujui ilipo hivyo naongea na watu ambao wanaijua Toronto . Nikisema Tanzania community ya Toronto huwezi kuelewa kama hujawahi kufika hata Nairobi . Ni sawa na wale mashahidi wa serikali kwenye kesi ya Lissu kuna viwango wewe bado unatambaa !
 
Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa anaombea hilo ili apate sababu!

Wenje na Lema wote familia zao zipo Toronto Cananada toka wakati wa Magufuli hivyo hawa ni watu wanajuana!

Biashara ya watu inalipa sana:

IMG_20251013_233026.jpg

imhotep au nasema uongo?
 
Back
Top Bottom