Wenje familia Canada ni snitch.Aliyeelewa uzi asaidie kuufafanua tafadhali.
NB: mi si mdau wa siasa mambo haya mageni kwangu. Wakati nasubiria maelezo narejea kilingeni MMU.
Alamsiki.
Aliyeelewa uzi asaidie kuufafanua tafadhali.
NB: mi si mdau wa siasa mambo haya mageni kwangu. Wakati nasubiria maelezo narejea kilingeni MMU.
Alamsiki.
Soma uzi wako kwa kurudia, hakuna cha u slow hapoSamahani ni ngumu kunielewa kama wewe ni slow.
Wenje na Lema wote familia zao zipo Toronto Cananada toka wakati wa Magufuli hivyo hawa ni watu wanajuana!
Madam unakunywa chubuku nin?Mwimwi natwamwani kururwudikwa humwu ila kisimwu chwangu hakwiandwikwi vizurwi kamwa enzwi zwa enzwi. nwaswomwa tu nywinyi wwote
wengwine kumbwe humwu 😂 😂 😂 mwengwi nwasomwa aiwisweee
Jumkwaa mwa simwasa inwanwipwitwa
kwebwodwi inwakwataa kwupwitiaw vpn
mdwau mbwurudikwaa
kwibodwi gomwa haswaaaaMadam unakunywa chubuku nin?
Ryogia tevyudejii shouye fasysiu?kwibodwi gomwa haswaaaa
nwi vpn awu?
Kasimu,tuendelee kula monde tu tukisubiri ufafanuzi,Aliyeelewa uzi asaidie kuufafanua tafadhali.
NB: mi si mdau wa siasa mambo haya mageni kwangu. Wakati nasubiria maelezo narejea kilingeni MMU.
Alamsiki.
Wanatumiana vikojoleo instagram.Wenje ,familla ipo Canada?Sasa mkewe anapata wapi haki ya ndoa kama Wenje yupo Geita?
Soma uzi wako kwa kurudia, hakuna cha u slow hapo
Wewe Vickie vipi bhana… Hujui kuna kujiongeza?😁Wenje ,familla ipo Canada?Sasa mkewe anapata wapi haki ya ndoa kama Wenje yupo Geita?
Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa anaombea hilo ili apate sababu!
Wenje na Lema wote familia zao zipo Toronto Cananada toka wakati wa Magufuli hivyo hawa ni watu wanajuana!