Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Hata hueleweki haki ya mungu๐Mwimwi natwamwani kururwudikwa humwu ila kisimwu chwangu hakwiandwikwi vizurwi kamwa enzwi zwa enzwi. nwaswomwa tu nywinyi wwote
wengwine kumbwe humwu ๐ ๐ ๐ mwengwi nwasomwa aiwisweee
Jumkwaa mwa simwasa inwanwipwitwa
kwebwodwi inwakwataa kwupwitiaw vpn
mdwau mbwurudikwaa
Ni kawaida CHADEMA kumchafua mtu akihama chama. Huyo Lema mwenyewe ni snitch kwa kuikimbiza familia yake Canada huku akichochea familia zingine zikapambane na polisi kupitia maandamano haramu. Viongozi wote wa hizi harakati haramu wamehakikisha kwanza familia zao hazipo nchini.
Kwa huu uandishi aliyeelewa atudadavulieLema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa anaombea hilo ili apate sababu!
Wenje na Lema wote familia zao zipo Toronto Cananada toka wakati wa Magufuli hivyo hawa ni watu wanajuana!
๐ฎDogo slow huwezi kunielewa "Platinum Member" toka 2006! nenda kasome machawa utawaelewa zaidi!. Hata Toronto inawezekana hujui ilipo hivyo naongea na watu ambao wanaijua Toronto . Nikisema Tanzania community ya Toronto huwezi kuelewa kama hujawahi kufika hata Nairobi . Ni sawa na wale mashahidi wa serikali kwenye kesi ya Lissu kuna viwango wewe bado unatambaa !
Ana hasira,kashindwa kuandika vyemaAliyeelewa uzi asaidie kuufafanua tafadhali.
NB: mi si mdau wa siasa mambo haya mageni kwangu. Wakati nasubiria maelezo narejea kilingeni MMU.
Alamsiki.
Heche ndo anajiongeza ila mke itakuwa anapata taabu tu.Baridi ya Canada kujumlisha na kulea watoto.Watoto wakishalala usiku .Yeye anabaki kitandani ndo nyegeee zinamtesa.Wewe Vickie vipi bhanaโฆ Hujui kuna kujiongeza?๐
Yule ni mchaga si mjaluo.Kule walihamia tu.Ukiwa na rafiki mjaluo ipo siku utajua tu ni mjaluo.
Oohh sikulijua hili. Ila anaongea kama mjaluo though ๐คฃYule ni mchaga si mjaluo.Kule walihamia tu.
Kazaliwa na kukulia huko.Hata mke wake ni mchagaOohh sikulijua hili. Ila anaongea kama mjaluo though ๐คฃ