Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Ujumbe stahiki kabisa toka kwa Lema, upo straight, loud and clear, usilete ukada wako wa kikuda hapa.Lema ajifunze kutumia Lugha za Staha!
Lugha za staha zianze na CCM!Lema ajifunze kutumia Lugha za Staha!
Mkataba wa hovyo wa bandari umewahi kuuona? nina wasiwasi utakuwa debe tupu.ChAdeMa waondoe KWANZA udini,ukanda na ukabila kwenye chama Chao ndio tutawaona wakweli.
Nimeuona Mangi. Unahitaji maboresho.Mkataba wa hovyo wa bandari umewahi kuuona? nina wasiwasi utakuwa debe tupu.
Nenda kausome ule mkataba wa kinyonyaji wa bandari, kisha ujiulize kama Chadema wanasema uongo.
😂😂 Ufipa mnapenda sana ligi!Ujumbe stahiki kabisa toka kwa Lema, upo straight, loud and clear, usilete ukada wako wa kikuda hapa.
yupo sawa, kabisaLema amewaambia waislamu wasitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki.
Huku akiwaambia Wakristo wasitetee mtu sababu ya uchungaji bali wamtetee sababu ya haki.
Akisema kuwa wengi wanaleta mambo ya udini sababu hawamjui Mungu, Maandiko wala haki, na kwamba wangekuwa wanajua haki wasingekuwa wanachonganisha watu kwa sababu ya udini.
Lema ameyasema hayo katika mkutano wa kupinga mkataba wa bandari unaofanyika Temeke leo tarehe 23/7/2023.