Leo nimemsikia Rais Samia akihutubia wazee ila katoa siri nzito na ambayo nilikuwa naifikiria sana hivyo hivyo .
1. Nakumbuka Samia huyu huyu ndo alienda kumtembea lisu Nairobi kama utu, pia Ubelgiji alimwona na wakaongea kwa kirefu, Kumbe bana alilia lia hana hela ana njaa na aliomba hela akapewa , leo kamgeuka anamtukana majukwaani aiseee mfadhili mbuzi utakula nyama yake na maziwa ila sio TUNDU LISU
2. Upinzani waliruhusiwa kufanya mikutano kilaini na maandamano wakaruhusiwa ila sasa kiburi kikawaanza , mara waaanze kuanzisha no reform no election , SASA NASHAURI ONGOZA NCHI KWA MKONO WA CHUMA ACHA KUWA LAINI UKISHATOA MWONGOZO ASIYEUFUATA ALAMBWE
3. Mwisho cheza na hawa manyumbu wanaotaka kuleta vurugu tena D 5 embu kama unaogopa lawama mwachie Mwigulu anaweza kutekeleza maamuzi magumu