Pre GE2025 Lema: Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu

Pre GE2025 Lema: Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza" ilikuwa ni ya utani

View attachment 3044546
sijawahi kumshusha hadhi nape kama sasa kutokana na kauli ile. sielewi ni kwanini bado anaaminiwa.
 
Hawa ni wachafuzi wa nchi. Hawamtakii huyu mama mema.Na watu walivyo na hasira ya mwaka 2019/2020 Nape anathubutu kuleta utani huo. Halafu na Lema naye analeta utani huo huo. Hatuna wana siasa makini.
 
Nape hastahili kupewa heshima yoyote ni kati ya watu wa hovyo sana walioko CCM na hawana breki yoyote kwenye vinywa vyao

Mtu kama huyo utaanzia wapi kumtunzia heshima?
 
Back
Top Bottom