The wave
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 283
- 318
Ulimfukuza wewe.Kwani kuna mtu alimfukuza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimfukuza wewe.Kwani kuna mtu alimfukuza?
John Walker amekua vumbiNa huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Acha ubumundaHata Mbowe ni sisu maskini pamoja na Hayati Magufuli ndio tulimchangia tukamtoa Jela segerea!
Alishavaa jezi na kuanza shughuli za kilimo!Acha ubumunda
Atakamatwa kwa kosa gani, ibilisi mwenye kiburi cha madaraka kashaenda motoni, hivyo hamna wa kuagiza huo uhayawani.akitua airport tu, moja kwa moja jela
Ibilisi Mkuu yuko motoni, nyie vishetani vidogo vidogo hamna madhara. Nyie ni kama nyuki wa mashineni.Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
Ana umuhimu kwa familia na marafiki na kazi zake. Hivyo ndio hujenga nchi. Nchi ni watu, ni mtu mmoja mmoja ni kama shilingi na fedha. Nchi ni kama fedha na watu ndio shilingi.Ww unaumuhimu gani?
Awahi mazikoKarb komando kipensi nyumban kumenoga
Batili haiwezi ishinda haki.Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
Aaah wapi mtesi wake kapanda cheo mida hii yupo training jinsi ya kuongoza malaika.Vishetani vidogo vidogo havina madhara hata Mange December nyumbani kumenoga.akitua airport tu, moja kwa moja jela
Anakushinda wewe kwa unafki ?Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Alisha hukumiwa?akitua airport tu, moja kwa moja jela
Nchi inadaiwa matrilioni ya kutosha upo unapiga kelele kwa madeni ya machungwa aisee...sijui mlisoma wapi nyi wenzanguAsisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu!