Lema: Narudi Tanzania

Lema: Narudi Tanzania

Amepata alichokifata huko alipokuwa.?
Anahisi amani itarejea tz,kama mtu amesema rais anaumwa akapigwa ndani kwa kuwa yeye sio msemaji Wa serikali,wengine tunasemea huku kwa I'd fake,unadhani nchi ilkuwa na usalama hii.
 
So ukiwa mbunge miaka 10 ndio nini[emoji23][emoji23][emoji23]... wewe utakua hujawahi kushika pesa so hizo pesa za ubunge unahisi watu wanatajirika [emoji23][emoji23]
Wewe ni mjinga sana aisee.Empty set kabisa.
 
So ukiwa mbunge miaka 10 ndio nini[emoji23][emoji23][emoji23]... wewe utakua hujawahi kushika pesa so hizo pesa za ubunge unahisi watu wanatajirika [emoji23][emoji23]
Sawa Mo Dewji ndugu yake na Bakhresa ambae unaona hela za ubunge mshahara mil 12 kwa mwezi,kikao laki 3 kwa siku,mikopo isiyo na riba, maprivillage kibao ww kwako si chchote kwa sababu umeshika hela.

Ila tuache utani Kuna makapuku wakiongea utafikiri anamiliki bilions of dollar. Kumbe anatembeza matembele kwa karai mtaani.
 
Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.

Mbona una hasira hivi mkuu, wewe ni praise team member?? Yaani apigwe risasi halafu apone lakini bado kuna inayoitwa “haki” inamngoja.

Kumbe kufa ni haki? Ulichoandika kinafikirisha. Ingependeza ukatuliza hasira, mambo kadhaa hayatafichuka!!!
 
Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Acha roho mbaya wewe,unafikiri hii nchi ni ya kwako peke yako.Mh.Lema karibu nyumbani tujenge nchi yetu chini ya rais mama Samia.Tunaomba sana kusiwepo mkimbizi yeyote wa kisiasa aliyekimbia Tanzania kwa sababu za kisiasa.Tusafishe Tanzania kwa kutengeneza serikali ya umoja na mshikamano.
 
Lema you are long done friend. Wewe una mawazo mgando sana yaani unaamini kuna mtu anakuwaza ndani ya chadema? au serikalini au CCM? you are wrong my ndugu. Fungua duka la spea hapo toronto kwani kuna shida
Toronto ya wapi? Mwambie huko porini
 
Anahisi amani itarejea tz,kama mtu amesema rais anaumwa akapigwa ndani kwa kuwa yeye sio msemaji Wa serikali,wengine tunasemea huku kwa I'd fake,unadhani nchi ilkuwa na usalama hii.
Yn hata huyo lissu akisema anarudi yn bado cjaona kipya
 
Yn hata huyo lissu akisema anarudi yn bado cjaona kipya
Sema tu ukweli wako ndugu,hivi kama jiwe angekuwa hajavuta box,lisu angerudi kweli akiwa na amani moyoni kuwa atakuwa salama.

Sasa hii huku jf wale praise team wameanza kuwa Wapole sana.
 
Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.

..waliokuwa wakikejeli ni majaliwa na chalamila.

..raisi alikuwa mahututi hospitali halafu majaliwa na chalamila wakawa wanamkejeli kwamba anachapa kazi.
 
Rejea nyumbani Lema, hapa ndio kwenu unapotakiwa kuishi kwa amani bila kutishwa na mtu.
Rudi utumikie nchi yako.

Kuna watu hudhani hii nchi ni yao peke yao, hii nchi ni yetu sote maana tumezaliwa hapa wala hatukuomba uraia kwa kujaza makaratasi
Mkumbushe na madeni aliyoyakimbia yanamsubiri kwa hamu.
 
Aje kufanya nini? Hatutaki wanafiki sisi, tunao makamanda wetu kina Erythrocyte ambao tumebanana nao hapa hapa wanatutosha
 
Sema tu ukweli wako ndugu,hivi kama jiwe angekuwa hajavuta box,lisu angerudi kweli akiwa na amani moyoni kuwa atakuwa salama.

Sasa hii huku jf wale praise team wameanza kuwa Wapole sana.
Kwan wakati wa uchaguzi, kampeni alifanyia Kenya.? Magufuli hakuwepo.?

Yeye arudi tuu mana n mtanzania ila bado mwendo ni ule ule
 
Back
Top Bottom