Lema: Narudi Tanzania

Lema: Narudi Tanzania

Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Kila mtu ana umuhimu kwa taifa hili na kila mmoja ana haki ya kuishi. Magufuli alichofanya kimeifadhaisha nchi yetu, nchi imekuwa ya hovyo. Labda itarudi kama ilivyo, tunahitaji rais anayejali raia wake, anayejali sheria, anayejali katiba nk.
 
Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,

Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.

Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema anatarajia kuona uongozi wa Rais Samia ukirekebisha na kutafuta maridhiano ya taifa zima.

‘’Nataka kurudi nyumbani hata leo, nyumbani ni nyumbani tu, wakati nakimbia nyumbani nilishuhudia uzoefu mbaya mimi na familia yangu’’, alisema

Lema ameeleza kuwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala ikiwemo viongozi watakaojali haki ni sura itakayorejesha imani ya kwamba sasa maisha yako salama.

‘’Nitarudi nyumbani mapema sana kuendelea na mapambano. Uwepo wetu huku hauna maana ya kwamba tumekuja kula bata, hakuna maisha yoyote, mtu anaweza akakimbia nyumbani kwao ambako amejijenga vizuri.’’alisisitiza

Hata hivyo Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ilitupilia mbali madai hayo ya upinzani na kusema hayo ni maigizo ya upinzani.

‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.

Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo jijini Dar es salaam kuongoza awamu ya sita ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli.
Usirudi malaya wewe

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Chupa ni ile ile kichobadilik ni wine tu haha wait and see CCM RANGI YAO KIJANI NA NJANO TU HUWEZI KIWABADIGISHA NGOJA AJE ATAJUA NYUMBANI NI NYUMBNI AU YYE CHITEMO MIMI MASKINI
 
Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,

Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.

Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema anatarajia kuona uongozi wa Rais Samia ukirekebisha na kutafuta maridhiano ya taifa zima.

‘’Nataka kurudi nyumbani hata leo, nyumbani ni nyumbani tu, wakati nakimbia nyumbani nilishuhudia uzoefu mbaya mimi na familia yangu’’, alisema

Lema ameeleza kuwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala ikiwemo viongozi watakaojali haki ni sura itakayorejesha imani ya kwamba sasa maisha yako salama.

‘’Nitarudi nyumbani mapema sana kuendelea na mapambano. Uwepo wetu huku hauna maana ya kwamba tumekuja kula bata, hakuna maisha yoyote, mtu anaweza akakimbia nyumbani kwao ambako amejijenga vizuri.’’alisisitiza

Hata hivyo Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ilitupilia mbali madai hayo ya upinzani na kusema hayo ni maigizo ya upinzani.

‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.

Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo jijini Dar es salaam kuongoza awamu ya sita ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli.
Alikuwa amevuta cha Arusha. Anataka maridhiano kwenye nini, au anataka ajiunge na akina mdee[emoji16][emoji16]
 
Alikimbia madeni alizoea kukopa kwa mgongo wa ubunge ,bora arudi alipe madeni anayodaiwa na benk mbalimbali
 
Hapo ndipo nashangaa unafiki wa wapinzani wa Tanzania, mtu anakimbilia ughaibuni halafu anarudi kuomba kura! Waige mfano wa Bobi Wine. Kwakuwa tunashabikia upuuzi wao tunawasupport ila hawafai
 
Anarudi kama nani sio mbunge ujue aje alipe madeni aliyoyakimbia kwa mgongo wa kutishiwa maisha
 
Ambae hana umuhim ameshaamsha bwashee, amepanda cheo anaenda kuwa kiongozi rasmi wa malaika wa waovu.
Kwanini wewe hutakufa ? Au unaringia uhai huo kujiona wewe ni mwema sana kuwa hai usifurahi kifo cha mwezio wote tutakufa tena bora wenzetu wamepata nafasi ya kutubu pengine wewe nguchiro unaefurahi vifo vya wengine ukakosa nafasi ya kutubu
 
Back
Top Bottom