SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Tuliza mshono, huwezi kumnyang'anya Utanzania wakeNa huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza mshono, huwezi kumnyang'anya Utanzania wakeNa huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Upo bibie! Msalimie Habibu B. Anga (The bold)Karibuni nyumbani nyote mliokimbia utawala dhalimu... Manji, Lissu n.k
Turudi kuijenga Nchi yetu, Tanzania ni yetu sote.
Kila mtu ana umuhimu kwa taifa hili na kila mmoja ana haki ya kuishi. Magufuli alichofanya kimeifadhaisha nchi yetu, nchi imekuwa ya hovyo. Labda itarudi kama ilivyo, tunahitaji rais anayejali raia wake, anayejali sheria, anayejali katiba nk.Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Usirudi malaya weweGodbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema anatarajia kuona uongozi wa Rais Samia ukirekebisha na kutafuta maridhiano ya taifa zima.
‘’Nataka kurudi nyumbani hata leo, nyumbani ni nyumbani tu, wakati nakimbia nyumbani nilishuhudia uzoefu mbaya mimi na familia yangu’’, alisema
Lema ameeleza kuwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala ikiwemo viongozi watakaojali haki ni sura itakayorejesha imani ya kwamba sasa maisha yako salama.
‘’Nitarudi nyumbani mapema sana kuendelea na mapambano. Uwepo wetu huku hauna maana ya kwamba tumekuja kula bata, hakuna maisha yoyote, mtu anaweza akakimbia nyumbani kwao ambako amejijenga vizuri.’’alisisitiza
Hata hivyo Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ilitupilia mbali madai hayo ya upinzani na kusema hayo ni maigizo ya upinzani.
‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.
Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo jijini Dar es salaam kuongoza awamu ya sita ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli.
Siasa za migawanyiko na ubaguzi hazina maana katika taifa letu, has a wakati huu tunapohitaji mshikamano kuliko wakati mwingine wowote.Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Afadhali kejeli kuliko risasi.Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
Umuhimu anao kodi zake tunazihitaji sana, aje tu.Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Alikuwa amevuta cha Arusha. Anataka maridhiano kwenye nini, au anataka ajiunge na akina mdee[emoji16][emoji16]Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema anatarajia kuona uongozi wa Rais Samia ukirekebisha na kutafuta maridhiano ya taifa zima.
‘’Nataka kurudi nyumbani hata leo, nyumbani ni nyumbani tu, wakati nakimbia nyumbani nilishuhudia uzoefu mbaya mimi na familia yangu’’, alisema
Lema ameeleza kuwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala ikiwemo viongozi watakaojali haki ni sura itakayorejesha imani ya kwamba sasa maisha yako salama.
‘’Nitarudi nyumbani mapema sana kuendelea na mapambano. Uwepo wetu huku hauna maana ya kwamba tumekuja kula bata, hakuna maisha yoyote, mtu anaweza akakimbia nyumbani kwao ambako amejijenga vizuri.’’alisisitiza
Hata hivyo Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ilitupilia mbali madai hayo ya upinzani na kusema hayo ni maigizo ya upinzani.
‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.
Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo jijini Dar es salaam kuongoza awamu ya sita ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli.
Sahihi...Wanafiki wakubwa hawaWanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
Hutasahau wewe na nani? Kwanini ujiapize ktk ujinga?.Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
Sijakimbia nchi yangu kisa madeni halafu niizushie serikali imemtishia maisha yake punguzeni unafiki na propaganda za kinafikiWewe una umuhimu gani?
Sijakimbia madeni nipo nachapa kazi ili nilijenge taifa languWewe unaumuhimu gani kwa taifa? Tuanzie hapa
Kwanini wewe hutakufa ? Au unaringia uhai huo kujiona wewe ni mwema sana kuwa hai usifurahi kifo cha mwezio wote tutakufa tena bora wenzetu wamepata nafasi ya kutubu pengine wewe nguchiro unaefurahi vifo vya wengine ukakosa nafasi ya kutubuAmbae hana umuhim ameshaamsha bwashee, amepanda cheo anaenda kuwa kiongozi rasmi wa malaika wa waovu.