Lema ni wakala wa wauaji lazima akataliwe na kukemewa

Umewahi kwenda jela kwa sababu ya CHADEMA zaidi ya kuwa ‘silver surfer’ and ‘keyboard warrior.

Embu jaribu kuvaa viatu vya Lema ata kwa siku Moja kwa mkutano wa mtaani kwako tu.

Mambo mengine ni rahisi kwa kuropoka tu.
Watu wamekufa kwa kupigwa wengine wanatembea na risasi mwilini unakuja kusema kwenda Polisi?

Polisi unatishia nani watu wamepigwa risasi?

Kuna watu wamemwaga damu , unakuja kutuambia huyo mpiga dili kwamba kwenda Polisi kajitolea sana...
 
Pumbavu zako, viatu gani? Vya usaliti? Pumbavu kabisa. Jela gani alikwenda si ilikuwa maigizo for a long time he has been an agent of ccm and shetani. Afadhali jana kasema ukweli wake sheitwani mkubwa
Nafikiri emotions zimekujaa tu, Lema ametofautiana nao kimtazamo tu, sio msaliti....
 
Watu wamekufa kwa kupigwa wengine wanatembea na risasi mwilini unakuja kusema kwenda Polisi?

Polisi unatishia nani watu wamepigwa risasi?

Kuna watu wamemwaga damu , unakuja kutuambia huyo mpiga dili kwamba kwenda Polisi kajitolea sana...
For what? Ku achieve nini exactly? Was it worth it? Kilichobadilika ni nini, au Kuna muelekeo wowote wa mabadiliko?
 
Anaweza akafungwa na maisha yakaendelea kama kawaida tu, huu ndio ukweli ambao Chadema hawataki ku confront lakini ni very plausible

Aliwahi kupigwa risasi mchana kweupe na hakuna uwanibikaji wowote uliofanyika mpaka Leo hii

Cha msingi ukiwa kwenye siasa ni kutazama kwanza usalama wako na uhuru wako, haimaanishi kusaliti cause unayoipigania,
Ikifungwa au ukatekwa na kupoteza Moja kwa moja, unakuwa umepotea na cause inakosa mtu wa kuipigania.

Japo mtu mwingine anaweza kuwa na maoni tofauti yakawa valid, lakini hata maoni kama haya ni very valid pia
 
For what? Ku achieve nini exactly? Was it worth it? Kilichobadilika ni nini, au Kuna muelekeo wowote wa mabadiliko?
Umeona watawala na machawa wao tena wakitamka mitandaoni kwamba watawapiga watu kama mbwa koko? Kwamba watawavunja miguu kama ilivyokuwa before 29?
 
Umeona watawala na machawa wao tena wakitamka mitandaoni kwamba watawapiga watu kama mbwa koko? Kwamba watawavunja miguu kama ilivyokuwa before 29?
Lissu alipigwa risasi mwaka 2017, hiyo ilizuia mauaji ya oktoba 29?
Baada ya Yale mauaji akina Mange na Maria waliitisha maandamano mengine, je polisi na jeshi walionyesha kuachia uhuru watu waandamane?
 
Nimekuuliza umesikia watawala na machawa wakitoa zile kauli za kutishia raia kwamba watawavunja miguu na kuwapiga vibaya kama ilivyo kuwa kawaida yao before Oct 2025? umesikia? jibu kwanza swali.. sasa hivi wanatumia magenge ya kiharamia kuogopesha vijana...

Labda nikuambie, matukio yote hayo ikiwemo Lissu kupigwa risasi ndiyo ilichangia yakatokea yale ya 29 Oct...
 
uhuru wa Lissu.
Pumbavu kabisa Lema, Lisu amesema either kuniachia huru au kuninyonga mpaka kufa! sasa wewe na Lema audacity ya kumsemea Lisu kuwa huru kwa rushwa na msamaha mnaitoa wapi? chawa mkubwa wewe na Lema kafika bei...si anajidai mchaga anajua hela kuitafuta...kama mhivi kuuza utu wake kwa Tende na harua

Umewahi kwenda jela kwa sababu ya CHADEMA zaidi ya kuwa ‘silver surfer’ and ‘keyboard warrior.

Embu jaribu kuvaa viatu vya Lema ata kwa siku Moja kwa mkutano wa mtaani kwako tu.

Mambo mengine ni rahisi kwa kuropoka tu.
Baada ya kifo cha Magufuli si aliwasiliana na bosi wake Kikwete ili aweke mambo sawa ili arudi nchini? 😳
 
alieua ni katili unamlaumu nini? lakini kuhamasisha watu wakafe kwa faida zako za kisiasa ni ushenzi
 
Ndugu umeandika mengi ya ukweli kuhusu Lema, lakini unakosea pale unapotaka kunyamazisha wengine kwa sababu hawajapitia hayo aliyopitia Lema. Maisha hayako hivyo na kila mtu ana mchango wake mkubwa kwenye kudai haki. Tena ambaye hajaenda jela hata mara moja anaweza kuwa na mchango mkubwa tu wa kimya kimya, na pengine alishazuia janga kubwa. Mkutano wa jana Lema alichemka sana na aliomgea mengi ya kijinga kabisa. Na nasema hivyo huku nikiwa ni mshabiki wa Lema anayemkubali kwa sacrifice nyingi alizofanya. Kwa mfano madai yake kuwa Mange anahamasisha maandamano halafu watu wakifa haji kuwazika ni jambo la kuunga mkono ukatili wa CCM wa kuua watu wasiyo na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…